Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Yaani hicho kipande billion 17.6 au mm sijaelewa
 
Upigaji wa safari hii,maninaaaa
 
Hivi viongozi wa hii nchi wana laana? au kwa kuwa wanajua wanaondoka madakani ndo maana wanafanua hivi,
Hivi kweli ili ni daraja la bilion na point , hii ni too much
 
Nchi yangu Upigaji kwenda mbele.
Mkuu wa nchi kule Tabora anawaambia waTanzania Serikali haisemi uongo!!
Kweli!!
Hajiulizi kwa nini watu wake wanalia kwenye hadhara ya wananchi! Nini shida?
Kama wameshindwa kubanana na kuwajibika kwenye pesa za wananchi si waachie.
Katiba Katiba iwe mwiba wa ujinga huu..
 
Hapo hela halali usikute ni bilioni moja tu. Hiyo iloyobakia yote usikute imeishia mifukoni mwa wajanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…