matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ya Africa haya, wazungu na wajapan na china wanaishi 100 na zaidi.Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80β¦
Hata hivyo amefaidi sana maisha, fikiria tangu mwaka 1989 ni kiongozi wa nchi, anakula tu nyama za ngamia.Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80β¦
Hapana, mshituko wa mashambulizi.Wamemroga πππ
70 hapana jamani,ni michache mnoMaisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80β¦
A man is neither too old to live nor too young to die.Miaka 85 anaishi miaka ya ubatili