Putonov
Member
- Apr 30, 2022
- 10
- 16
Mwanadam yupi kaka, Moses died at 120, Abraham 175. Issue ni kujua waliishije?Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanadam yupi kaka, Moses died at 120, Abraham 175. Issue ni kujua waliishije?Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80…
Alikuwa anasubiri nini kuumwa? Yani baada ya mashambulizi ndio aanze kuumwa. Hiyo presha tu ya ndege vita zaidi ya 100Ila waisrael wa tarime mna kazi sana, sasa kwa umri huo mtu kuumwa ni ajabu kweli?
😆😆😆 HatariiiiiHapana, mshituko wa mashambulizi.
Fikiria Mazayuni yametimba nchini mwako na yale madege yao ya kutisha. Yanakushushia nondo katika sehemu zote muhimu za kiulinzi usiku kucha.
Unaweza ukajinyea.
Lakini hayo aliyasema Daudi.Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni 80…
KUUGUA SIYO KUFA, utasubiri saaaaana.Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa.
Taarifa hizi zimekuja siku moja baada ya kushambuliwa vibaya kwa maeneo zaidi ya 20 huko Iran.
Chanzo.
![]()
Iran's Khamenei seriously ill, son likely to be successor as supreme leader - NYT
Khamenei has served as Supreme Leader since 1989 since the death of Ruhollah Khomeini, the first to hold the title.m.jpost.com
As Iran plans its retaliatory attack against Israel, reports are emerging that the country’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei is “seriously ill”. According to a New York Times report, the 85-year-old Iranian supreme leader is suffering from a serious medical condition. The report suggested that Khamenei’s second-oldest son, Mojtaba Khamenei will likely succeed him when he dies.KUUGUA SIYO KUFA, utasubiri saaaaana.
Nakazia hoja. Ile "Boom sound" ya madege ya Israel tayari imeleta shida kwenye mshipa wa aorta kwa huyo mzee.Hapana, mshituko wa mashambulizi.
Fikiria Mazayuni yametimba nchini mwako na yale madege yao ya kutisha. Yanakushushia nondo katika sehemu zote muhimu za kiulinzi usiku kucha.
Unaweza ukajinyea.

Yahuuud haatarrr maamaeeKullu nafsin dhaaikatul maut
Acha porojo wewe njoo tulale hapa.70 hapana jamani,ni michache mno
Halafu umesikia breaking news, Wayahudi walituma wanawake kufanya ile operation.Nakazia hoja. Ile "Boom sound" ya madege ya Israel tayari imeleta shida kwenye mshipa wa aorta kwa huyo mzee.
Dah! Myahudi aisee!? We acha tuu. Wazee wanakuwa eliminated kwa Boom sound, Viongozi Makamanda ngazi za juu kabisa e.g. Sinwar , Nasrallah etc kwa targeted precise Airstrikes na Drones, hawa Wapiganaji wengine "akina nakadhalika" kwenye mashimo a.k.a mahandaki wanadondoshewa bomu lenye uzito wa zaidi ya Tani moja.![]()
🤣🤣We unawaza kulala tu mkuuAcha porojo wewe njoo tulale hapa.