Jerusalem Post: Kiongozi mkuu wa Iran Khamenei anaumwa vibaya muda wowote anatutoka

Jerusalem Post: Kiongozi mkuu wa Iran Khamenei anaumwa vibaya muda wowote anatutoka

Hiyo ingekuwa habari njema sana kwa Mazayuni
Lakini mwamba bado yuko ngangari
Angalia akihutubia alasiri ya leo hii
 

Attachments

  • VID-20241027-WA0076.mp4
    18.1 MB
Umri wake umesonga! Kuumwa kwake hakuhusiani na mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!
Kama bado mfumo wa utawala ni ule ule hata akifa bado mwingine atachukua nafasi yake.
 
Anakula penshen huyo😃 miaka hio kwa sisi pangu pakavu ni nadra kutoboa.
Nitilie mchuzi
Umenikumbusha mbali sana 2007 alikuwepo mtangazaji mmoja wa Star TV huu ulikuwa msemo wake kwenye kipindi chake kimoja usiku
😀
 
Back
Top Bottom