Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wangewapeleka congo manake nchi robo tatu bado pori kubwa sana wameitumia robo tu labda miaka 3000 ijayo ndio pori kwa pori kutokea mtobozanoUnaomba historia kwa asiyejua historia pole sana,labda kwa kukusaidia baada ya Vita kuu ya pili ya Dunia walitaka waletwe East Africa Uganda Maana kabla ya hapo walikuwa hawana kwao walikuwa wametapakaa Dunia nzima,Inchi ya Israel imeasisiwa baada ya vita ya pili ya Dunia na waliwakuta Waparestina. Nitakupa na Stori ya kidini ili Uelewe sio kushabikia vitu ambavyo hamvijui kwa Miemuko ya Dini
Hapana wakati wanaingia machifu tayari walikua na mipaka yao, na wakoloni tayari walishagawana vipande.Mipaka ndio iliyowakuta Wamasai
Machifu wa Kabila gani?Hapana wakati wanaingia machifu tayari walikua na mipaka yao
Ndio utakuwa mwisho wa Congo kama tuijuavyo, kumbuka hawa jamaa ni mabingwa wa kuzulumu Ardhi hata huo mgogoro wao ni kudhulumiana Ardhi.wangewapeleka congo manake nchi robo tatu
Unawajua wa Kabila ganiMachifu wa Kabila gani?
Dini ni mbinu zilizotengenezwa ili kuwatawala watu ( Utumwa) kwa hio usichukiane kwa ajili ya dini kwani hazina faida kwenuPoor reasoning guy,
Pole sana hujui dunia ya propaganda inavyoendeshwa.Uislamu siyo fujo,kuua wala siyo kuandamana bali haya yametengenezwa na watu wenye malengo mabaya dhidi ya uislamu (Samahani ukiwemo na wewe).
Uislam maana ake ni "PEACE'' hivyo ondosha dhana mbaya yenye chuki na ujifunze uislam then urudi hapa kwa mara nyingine.
Dini ni mifumo iliyobuniwa kwa ajili ya kutawala watu ( Utumwa) kabla ya kubuniwa serikali za sasa, msichukiane hizo dini hazitawasaidia chochoteShida kubwa uliyonayo mkuu ni kwamba uko too general, hebu jaribu kwenda taratibu na ujiulize kwa nn hayo hutokea.
Zaidi ya hapo kuna uislamu as a religion na kuna muislamu as a person likewise kuna ukristo/uyahudi as a religion na christian as a person kwa hiyo hukumu kwa kuutazama uislamu na siyo muislam.
Kam hujaelewa njo mkuu.
Uko sahihi, watu wenye chuki iliyopitiliza kwa Waafrika ni waarabu, wahindi, wachina na wazungu wanashika nafasi ya mwisho.Pumbavu nimekaa na Wayahudi ( Waisrael ) na kamwe hawatuchukii Sisi Waafrika kama ambavyo Waafrika wenyewe kwa wenyewe tunachukiana kila Uchao tu.
Ukisoma historia vizuri bila kuegemea kwenye dini utaelewa.Naomba nikupe muhtasari kidogo,kihistoria hao wapalestina wametokana na jamii ya wafilisti waliohamia maeneo hayo karne ya 12BC ambapo utawala wao ulikuja kutawaliwa na waassryia,ikafuatia tawala nyingine nyingi zikiwemo Wababeli,waajemi,wagiriki,waarabu,warumi,waturk,wamisri na baadae ufalme wa ottomani mpaka 1917.Sasa baada ya vita kuu ya kwanza mwaka 1918 Uingereza ikachukua utawala juu ya ardhi yote na umoja wa mataifa wakati huo(League of nation) ukawapa Uingereza maadhimio ya kuanzisha taifa la wayahudi mwaka 1923,ambapo mchakato huu ulichukua takribani miaka 20,ambapo baada ya vita kuu ya pili1947 UN walitoa mpango wa kugawa mataifa mawili ambayo moja ni Israeli na jingine lingekuwa Palestina,lakini viongozi wa kipalestina walipinga mpango huu na kuanzisha vurugu ambayo Israel waliitumia kujitangazia uhuru wao baada ya kuidhibit hali ya vurugu.Baada ya hapo ndio zikafuata vulumai kama hizo mpaka leo.Hiyo ndio historia ninayo ifahamu,nipo huru kukosolewa pale penye walakini.Karibu.Soma history kipindi UN anagawanya hyo Palestine na kuform Israel 1948
Wapalestine walkuwa wengi na wakapewa eneo dogo kuliko jews ambao walikuwa wachache
Na tangia hapo majews walikuwa wanaexpand mpka sasa inaonekana kma Palestine hamn nchi
Ndomn nikakwambia weka udini pembeni
Ni ardhi takatifu iliyobarikiwa ndio maana wanaigombania.Mbn dunia kubwa kwann wasiende kuishi hata araska auko au austrial waombe wakaishi uko kila siku wanapigana kuigombania iyo ardhi ina nn iyo ardhi???
Kwa mtazamo wako amani ni kitu gani?Poor reasoning guy,
Pole sana hujui dunia ya propaganda inavyoendeshwa.Uislamu siyo fujo,kuua wala siyo kuandamana bali haya yametengenezwa na watu wenye malengo mabaya dhidi ya uislamu (Samahani ukiwemo na wewe).
Uislam maana ake ni "PEACE'' hivyo ondosha dhana mbaya yenye chuki na ujifunze uislam then urudi hapa kwa mara nyingine.
Jifunze kujizuia hisia zako, acha mihemko yako ya makande. Unaishi Tz haujui maumivu kiasi gani wanayapata wenzio direct unawashambulia waislamu. upo na utimamu sawa sawa kweli??Dunia nzima waislam akili zao ni moja wanawaza fujo mda wote kuua kuandamana kujitoa mhanga.
Kusingekuwepo uislam tungekaa kwa aman sana ila nashukuru mungu aliwapa nguvu Israeli, na wazungu maana wanashughulikiwa kisawa sawa very good.
mkuu jangwa na michanga ile imebarikiwa kitu ganiNi ardhi takatifu iliyobarikiwa ndio maana wanaigombania.
Israel ina waislamu wengi mara saba ya wakristoUkishakujaga mjadala wa kuzungumzia Israel waislam weng hua mnakimbilia kutuambia kua Israel sio wa kristo ni wayahudi, lakini Israel ina dini zote km yalivyo mataifa mengine na wapalestine pale ni wahamiajI.
Ingekua ni mji wao usingeitwa Jerusalem sema akili kichwani hamna nyie, na naomba Israel iwatandike kisawa sawa akili ziwakae saws, mmejaza ujinga kichwani mnawaza vita mda wote.
Sisi tunachukiwa na kila aina ya Watu kwA nini lakini?Uko sahihi, watu wenye chuki iliyopitiliza kwa Waafrika ni waarabu, wahindi, wachina na wazungu wanashika nafasi ya mwisho
Free Palestine [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]![]()
REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem
Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na mshambulizi ya kulipa kisasi kutoka pande zote mbili yakiripotiwa.
Ghasia hizo ziliongezeka siku ya Jumatatu usiku baada wanamgambo wa Kipalestina kurusha roketi kutoka ukanda wa Gaza hadi Jerusalem.
Kundi la wanamgambo la Hamas limetishia kuwashambulia maafisa wa polisi wa Israel baada ya mamia ya Wapalestina kujeruhiwa katika eneo takatifu la Waislamu mjini Jerusalem siku ya Jumatatu.
Likijibu, Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya angani dhidi ya ngome za wanamgambo katika ukanda wa Gaza.
Maafisa wa afya wa Palestina katika eneo la Gaza wanasema kwamba watu 22 wakiwemo watoto waliuawa katika shambulio hilo.
Jeshi la Israel limesema kwamba takriban wanachama 15 wa kundi la Hamas linalotawala Gaza ni miongoni mwa waliokufa.
![]()
REUTERS: Roketi zilirushwa kutoka Gaza hadi Jerusalem siku ya Jumatatu
Siku ya Jumanne, Shirika la haki za kibinadamu la Palestina Red Crescent, liliripoti kwamba zaidi ya Wapalestina 700 walijeruhiwa katika ghasia hizo na maafisa wa usalama wa Israel mjini Jerusalem na eneo la West Bank.
Hizi hapa sababu tatu zilizopelekea kuzuka kwa mzozo huo.
1. Siku ya kusherehekea Jerusalem
Jerusalem imeshuhudia ghasia ambazo hazajiwahi kutokea tangu wikendi ya 2017, zikisababishwa na jaribio la muda mrefu la Wayahudi kujaribu kunyakua nyumba za familia za Kipalestina katika eneo lililonyakuliwa na Israeli la mashariki mwa Jerusalem.
Ghasia hizo za Jumatatu zilizuka nje ya msikiti wa Al Aqsa , katika mji wa zamani wa Jerusalem.
Wapalestina waliwarushia mawe maafisa wa polisi wa kukabiliana na ghasia kutoka Israel ambao nao walijibu kwa kuwarushia risasi bandia za mipira na vitoa machozi .
Shirika la haki za kibinadamu la Palestina Red Crescent lilisema siku ya Jumatatu kwamba zaidi ya watu 300 walijeruhiwa.
Vikosi vya polisi vya Israel vilisema kuwa idadi kubwa ya maafisa wa polisi ilijeruhiwa pia.
![]()
Zaidi ya Wapalestina 300 walijeruhiwa wakati wa ghasia za siku ya Jumatatu
Msikiti wa Al Aqsa upo katika eneo takatifu linalojulikana na Waislamu kama Haram al Sharif, na Hekalu la Mlimani kwa Wayahudi.
Vikosi vya polisi wa Israel vilisema kwamba maelfu ya Wapalestina waliweka vizuizi katika eneo hilo wakitarajia kutokea kwa ghasia wakati wa maandamano ya Kiyahudi siku ya Jumatatu ili kuadhimisha siku ya Jerusalem.
Maandamano hayo yanaadhimisha hatua ya Israel kunyakuwa eneo la mashariki la Jerusalem 1967 , wakati wa vita vya siku sita ambapo ilifanikiwa kuchukua udhibiti wa mji wote.
Mji huo wa zamani upo mashariki mwa Jerusalem , ikiwa ni nyumbani kwa baadhi ya maeneo matakatifu ya kidini duniani ikiwemo:
Msikiti wa Al-Aqsa, Hekalu la mlimani, Ukuta wa magharibi wa dini ya Wayahudi na kanisa la Wakristo la mtakatifu Sepulcher.
Na eneo hilo linatambulika kuwa mji mtakatifu na Wayahudi, Wakristo na ni mji wa tatu mtakatifu katika Uislamu.
Hatma ya eneo la Jerusalem mashariki ndio kiini cha ghasia kati ya Israeli na Wapalestina na kila upande unapigania haki yake.
Israel inasema kwamba eneo lote la mji huo ni mji wake mkuu , ijapokuwa hilo halitambuliwi na jamii ya kimataifa , na Wapalestina wanadai kwamba eneo hilo ndio mji mkuu wa taifa la Kipalestina litakaloundwa katika siku zijazo.
Wakati wa maandamano hayo ya kuadhimisha siku ya Jerusalem, mamia ya vijana wa Israel walipeperusha bendera na kuelekea katika maeneo hayo ya Waislamu , wakiimba nyimbo za kizalendo.
Wapalestina wengi wanachukulia hatua hiyo kama uchokozi.
Polisi wa Israel walitembelea eneo hilo kuamua kuwapiga marufuku Wayahudi wakati wa maadhimisho ya siku ya Jerusalem.
![]()
Maandamano ya kuadhiisha siku ya Jerusalme yanaadhimishwa kufuatia hatua ya Israel kunyakua mji huo
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alitetea ulinzi uliowekwa.
"Hii ni vita kati ya wavumilivu na wasio na uvumilivu, kati ya wasiofuata sheria na wanaofuata sharia," alisema.
"Wale wanaotaka kuchukua haki zetu mara kwa mara hutulazimisha kusimama kidete, kama maafisa wa polisi wa Israeli wanavyofanya."
Kwa upande wake rais wa Palestina Mahmoud Abbas alishutumu vitendo vya Israel.
"Shambulio la kinyama la vikosi vya Israel dhidi ya waumini waliokuwa katika msikiti mtakatifu wa Al Aqsa na maeneo yake ni changamoto mpya kwa jamii ya kimataifa," alisema msemaji wake Nabil Abu Rudeineh.
2. Uwezekano wa kuzifurusha familia za Wapalestina
Wimbi jipya la ghasia linatokana na juhudi za siku nyingi za Wayahudi kuzifurusha familia kadhaa za Kipalestina kutoika katika makazi yao karibu na wilaya ya Sheikh Jarrah mashariki mwa jerusalem.
![]()
Jerusalem ilishuhudia ghasia mbaya zaidi tangu 2017.
Umauzi wa mahakama mwaka huu uliounga mkono kufurushwa kwao ulizua shutuma kutoka kwa Wapalestina.
Mahakama ya kilele nchini Israel ilikuwa inatarajiwa kusikiliza kesi siku ya Jumatatu lakini kikao hicho kikaahirishwa kutokana na ghasia hizo.
3. Hali ya hofu wakati wa Ramadhan
Wimbi hili la ghasia linajiri katika siku za mwisho za mwezi mtukuafu wa Ramadhan.
![]()
Hofu ilitanda tangu kuanza kwa mwezi wa Ramadhan katikati ya mwezi Aprili , huku kukiwa na msururu wa matukio ambayo yamesababisha ghasia.
Wakati Ramadhan ilipoanza , ghasia za usiku zilizuka kati ya polisi na Wapalestina wakipinga vizuizi vilivyoweka nje ya lango kuu la Damascus katika mji wa zamani wa Jerusalem ambalo lilikuwa limewazuia kukongamana eneo hilo usiku kucha.
Lakini ghasia hazikutokea Jerusalem pekee kwani sehemu nyengine pia zilirekodiwa katika mji wa Haifa , Kaskazni mwa Israel na mji wa karibu wa Ramallah katika eneo la West Bank.
Wapatanishi wa mashariki ya kati , wakiwemo Marekani, muungano wa Ulaya, Urusi na Umoja wa Mataifa wameonyesha kukerwa na ghasia hizo na kutoa wito kwa pande husika kuvumiliana.
CHANZO: BBC Swahili
Wewe ndio hujielewi,hao waisrael ndio wanaonzisha fujo,hao wapalestina wako wakristo pia,usifikiri ni waislamu watupu.Huyo muisrael hamtambui hata huyo Yesu,anamuita mtoto wa nje ya ndoa.Ukisikia mpalestina hapo ni Muislamu na mkristo.Dunia nzima waislam akili zao ni moja wanawaza fujo mda wote kuua kuandamana kujitoa mhanga.
Kusingekuwepo uislam tungekaa kwa aman sana ila nashukuru mungu aliwapa nguvu Israeli, na wazungu maana wanashughulikiwa kisawa sawa very good.
Na Takwimu hizi hapaWewe ndio hujielewi,hao waisrael ndio wanaonzisha fujo,hao wapalestina wako wakristo pia,usifikiri ni waislamu watupu.Huyo muisrael hamtambui hata huyo Yesu,anamuita mtoto wa nje ya ndoa.Ukisikia mpalestina hapo ni Muislamu na mkristo.