Sio kweli.Mkuu umegusa mbali sana huko ni zaidi $8000 per month
Good observationHizo bar si yake. Bali Ni za Kaka yake aliishi ughaibuni ( nahisi amesharejea Bongo Kwa sasa). Pia, Kuna kutakasa mafwedha humo. Usihadaike
Ni uthibitisho kuwa huyu ni kilaza wa daraja la juu sana!! Kwa kiwango cha ufahamu wake hapo anaamini ametoa bonge la pointi!!Kwa hyo alikuwa analipwa dola 3000 takriban milion 6 plus then akafungua biashara ya vinywaji ambayo haifiki laki 5?
Hv ulijifunza kweli LOGIC darasani?
Mpwayungu Village njoo hukuNi uthibitisho kuwa huyu ni kilaza wa daraja la juu sana!! Kwa kiwango cha ufahamu wake hapo anaamini ametoa bonge la pointi!!
Yeye sio mwalimu tena.Ila anachoandika punga Mpwayungu Village hukioni!?
Unazungumzia na hapa Tanzania au?Sio kweli.
Mshahara wa air attendants duniani wastani ni wastani wa 2,000$ to 5,000$
Wastani mshahara kwa saa ni 23$ na 47$.
Wastani wa masaa kwa miruko yote kwa mwezi ni saa 75 tu
Acha kupangia watu cha kufanyaFikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Sasa miye ndo mwalimu wa kizazi kipya ambaye havumilii ujinga,Yeye sio mwalimu tena.
Ualimu sio cheti pekee
Mpwayungu Village njoo hukuKama mtu alikuwa analipwa zaidi ya Mil 6 per month ilikuaje akafungua kigroceey chenye vinywaj hata Laki t haifik?
Tumia akili
Huyo dada alikuwa fastjet.Mashirika makubwa kama KLM, British Airways, American Airline, Turkish na Luftansa hiyo hela wanapata na zaidi.
Head Teacher, kwani wewe unaona milioni 6 ni hela ndogo? Tuache masikhara hiyo ni hela kubwa sana.Wewe unaona million Sita pesa kubwaaaaaa
Na Jesca hakuacha kazi bali shirika lilifilisika/Jiwe aliwapiga pin kiaina. Ila alianza biashara ya bar na nyinginezo akiwa kazini, kazi ilipoisha nae akajiongeza. TumpongezeHuyo dada alikuwa fastjet.
Nahitaji kujua ni Kampuni ipi Tanzania inamlipa Dola 3000
Unakosea sana.Sasa miye ndo mwalimu wa kizazi kipya ambaye havumilii ujinga,
Mshauri rafiki Yako Mpwayungu Village kuvaa pampasi siyo jambo zuri
Relax,achukue huo ushindiUnakosea sana.
Hakuna mwl wa kizazi kipya, pili hakuna sababu ya wala logic katika kumrekebisha mtu kwa kauli za kuudhi.
Kwa kauli zako Mpwayungu anakosa hatia.
UNampa ushindi wa bure.
Mwisho siwezi kumshauri avae pampasi kwani sijawahi kumwona akiingiliwa
Ataishia kuuza kijambioIkiwa mpwayungu village ana maarifa nae afungue bar
Reasoning capacity yetu Watanzania ina mashaka.Ikiwa mpwayungu village ana maarifa nae afungue bar