Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Kwa hyo alikuwa analipwa dola 3000 takriban milion 6 plus then akafungua biashara ya vinywaji ambayo haifiki laki 5?

Hv ulijifunza kweli LOGIC darasani?
Ni uthibitisho kuwa huyu ni kilaza wa daraja la juu sana!! Kwa kiwango cha ufahamu wake hapo anaamini ametoa bonge la pointi!!
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Acha kupangia watu cha kufanya
Kuna kazi za wito na za upigaji
Ualimu ni wito
Bila walimu hakuna viongozi, hakuna maendeleo haina yeyote.
 
Sasa miye ndo mwalimu wa kizazi kipya ambaye havumilii ujinga,

Mshauri rafiki Yako Mpwayungu Village kuvaa pampasi siyo jambo zuri
Unakosea sana.
Hakuna mwl wa kizazi kipya, pili hakuna sababu ya wala logic katika kumrekebisha mtu kwa kauli za kuudhi.

Kwa kauli zako Mpwayungu anakosa hatia.
UNampa ushindi wa bure.

Mwisho siwezi kumshauri avae pampasi kwani sijawahi kumwona akiingiliwa
 
Unakosea sana.
Hakuna mwl wa kizazi kipya, pili hakuna sababu ya wala logic katika kumrekebisha mtu kwa kauli za kuudhi.

Kwa kauli zako Mpwayungu anakosa hatia.
UNampa ushindi wa bure.

Mwisho siwezi kumshauri avae pampasi kwani sijawahi kumwona akiingiliwa
Relax,achukue huo ushindi

Ila tell your godamn friend that being a faggot is no good business
 
Back
Top Bottom