Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Mafanikio siyo kuwa na Pesa Nyingi tu!

Nidhamu na Heshima ya Waalimu ni Utajiri wa kutosha!
Isitokee hata siku moja ukadhani Waalimu ni Masikini!

Ni Matajiri wa watu waliofanikiwa!!
 
Umejuaje kama ana maisha magumu huyu mtu Mkuu
 
Mwalimu yupi mwenye million mbili Kwa mwezi?? Anyway achana na Kwa mwezi we nionyeshe ticha mwenye million mbili cash mm nikuambie mpemba ambae hali samaki
Mwalimu akifika ngazi ya TGTS H anakula zaidi ya milioni 2 kwa mwezi na akifika ngazi ya TGTS I anakula zaidi ya milioni 3. Huyo ni mwalimu wa digrii. Mpwayungu amekalili kuwa walimu wana mishahara midogo wakati hali halisi siyo!!
 
Biashara kwa sehemu kubwa huwa ni sehemu ya kutakatisha pesa tu!! Ushirikina pia ni mwingi sana, utoaji wa kafara etc!! Sikatai wapo ambao ni genuine!
nimefanya kaz mingi chn ya mabosi. maboc wengi washirikina sana sana si waslam si wakristo si waarab si wahind wapuuz sana. huwa nashangaa wanaosema hakuna uchawi.nasema ni watt maisha laini au bac tu wanabisha out of blue
 
Ni kichaa pekee wa kuamini hilo. Waseme tu mkataba wake uliisha akaamua afungue biashara hapo itaeleweka. Hakuna mtu wa kuacha million 7 kwa mwezi akafungue business ya kitoto kama grocery.
Kwanza fastjet imlipe air hostess million 6 wanaumwa?ukiwa nje ya aviation industry watu huwa wakiuona zile uniform wanahisi wale watu wanalipwa vizuri,kumbe kiukweli hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…