Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
We shoga Mpwayungu njoo hukuMwalimu akifika ngazi ya TGTS H anakula zaidi ya milioni 2 kwa mwezi na akifika ngazi ya TGTS I anakula zaidi ya milioni 3. Huyo ni mwalimu wa digrii. Mpwayungu amekalili kuwa walimu wana mishahara midogo wakati hali halisi siyo!!
Wewe siwezi kuthubutu kukupingaKwanza fastjet imlipe air hostess million 6 wanaumwa?ukiwa nje ya aviation industry watu huwa wakiuona zile uniform wanahisi wale watu wanalipwa vizuri,kumbe kiukweli hamna kitu
Eureka!! Nimejiridhisha Mpwayungu village ana matatizo ya akili!! Mwanamume kufika mahali akatangaza rasmi kutamani angezaliwa mwanamke huyo lazima maisha yamemgonga sana!! Wengi huishia kuwa mashoga!! (simaanishi kuwa mpwayungu ni shoga, akini akiwa hivyo sitashangaa). Mashoga wote wana matatizo ya akili!!
Aahaaaaa,Eureka!! Nimejiridhisha Mpwayungu village ana matatizo ya akili!! Mwanamume kufika mahali akatangaza rasmi kutamani angezaliwa mwanamke huyo lazima maisha yamemgonga sana!! Wengi huishia kuwa mashoga!! (simaanishi kuwa mpwayungu ni shoga, akini akiwa hivyo sitashangaa). Mashoga wote wana matatizo ya akili!!
Ni kweli kabisa kwa 90%...!Kuhusu Mpwayungu Village nimeandika kwenye mabano kuwa nimemtania.
Kuhusu Kikuyu na Mchaga...kuwafananisha na Waisrael.
Israel ni watafutaji sana wa pesa, wanatumia mbinu nyingi.
Ukimleta Mwisrael hapa Tanzania aje tu na bag lake bila mtaji, atakushangaza baada ya miaka mitano, atakuuzia akili, maarifa namna ya kulima kisasa au kubuni chochote.
Mchaga kwenye pesa sio mtaji pekee.
Kinywa/mdomo wa mchaga unaweza kugeuka mtaji
Wewe mwajiri kufanya lolote yaani mbele ya pesa ni mnyenyekevu sana yuko tayari kumuosha boss miguu tena kiroho safi maadamu tu pesa ni uhakika.
Ndio maana anafanikiwa.
Je..kijana wa KINYAKYUSA anaweza kujishuklsha kiasi hicho?
Hivi huyu jamaa pdidy ni nani hasa humu JF? Ni mtu wa aina gani?Mpwayungu village Ni pdidy aliyechangamka
Na mimi nilikuwa kama majority before ila kama hao fastjet ndio kada inayodharaurika kati ya airline zoteWewe siwezi kuthubutu kukupinga
Ni pundit wakubeti,yupo jukwaa la Michezo,kwenye uzi wa kubetiHivi huyu jamaa pdidy ni nani hasa humu JF? Ni mtu wa aina gani?
Dalali? Wapopo ndiyo nani hao Boss?Sema dogo unabugi kumtumia Jesca kama mfano. Jesca ni dalali, danga wa wapopo.
Ungenyooka tu na agenda yako ya kuwatukana walimu kenge mwenye madoa wewe.Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Anaonekana ana bet sana mchizi[emoji23]Ni pundit wakubeti,yupo jukwaa la Michezo,kwenye uzi wa kubeti
8,352,700 🤣🤣🤣🤣hapo kwanza Ncheke.Kim Jong Jr kakuuliza swali zuri sana ulipaswa kuja na Data sio ushubwadaView attachment 2708865
Hayo ni maneno ya kufikirika!! Ni wafanya biashara wangapi TZ wanaingiza 1M kwa siku? Ingekuwa ni hivyo makusanyo ya TRA kwa mwezi yangekuwa ni matrilioni maana wafanya biashara TZ ni wengi sana kuliko wafanyakazi!! Biashara ni ngumu sana!! Unakuta mtu amejaza duka lakini kimahesabu faida halisi kwa siku ni pesa kidogo sana!! Profit margin kwenye biashara halali ni ndogo sana!! Usiangalie mauzo, angalia net profit!! Ukiona wafanyabiashara wanavutana na TRA ni ushahidi tosha kuwa faida ni ndogo sana!!.Wanakula MPAKA 2M? hilo neno MPAKA linaonesha ndiyo hela ya juu wanayokula, kuna mtu anawaza apanueje mradi wake aingize 1M daily then wewe unahemea 2M monthly?
Utaudhibiti mzee? Wakubwa wako wanaujua nje ndani uhuni unaofanywaDu upi huo mkuu ebu tufunulie
Labda yeye ndo hana nguvu za kike!! Anaona kero tu maana hakuna anachosikia!!Kumbe sponsor huwa haachwi?Ikute sponsor hana nguvu za kiume na bibi kaona anaweza kusimama kwa miguu yake akaamua sasa atafute mtu wa kumsugua vizuri,baada ya mihangaiko ya kila siku katika kusaka noti.
Ki ben ten kimekabidhiwa BMW kitembelee faaa masihala nini..alafu jamaa alikuwa mpiga picha wake tu kaulaaa kiulainiiiiii na mtoto kamzalisha na dini kambadilisha jamaa akipita mtaani na BMW yake kila mtu anamuangalia watu wanajiuliza jamaa ametumia ndagu gani [emoji3][emoji3]Labda yeye ndo hana nguvu za kike!! Anaona kero tu maana hakuna anachosikia!!
You Nailed it brother! Upo sahihi ndo maana nampongeza sana huyo dada amekwenda extra miles.! Ukichukulia kuna baadhi ya madada/watu maarufu wameangukia pua na ni Pini kweli kweli kuliko huyo dada walishikwa wakashindwa.Labda nikwambie.
Kuna watu wanajua kushikwa mkono na wakashikika sio kama akina Wema.
Hasa wanawake wa kichaga, wakishikwa mkono watakushangaza.
98% ya wanawake wenye mafanikio ndani yake kuna mikono na sio mkono...ya wanaume.
Hasa hawa wenye bar wanajua sana kutengeneza michongo kupitia wateja wao wa kudumu.
Utakuta ana eneo maalum la kukaa na wateja wake wa kila siku na kupiga nao stori huku wa kinywa taratubu, mkilewa mnaanza kutoa ahadi za kumjengea mara kusomesha watoto, mara wengine kuongezea mtaji wa kreti za bia.
Imejini kila siku apewe kreti 2 ..3 za bia ndani ya mwaka yuko wapi?
Endelea kuwatukana walimu lkn mjini shule...walimwengu ndio waalimu wenyewe🤣🤣