Kuhusu
Mpwayungu Village nimeandika kwenye mabano kuwa nimemtania.
Kuhusu Kikuyu na Mchaga...kuwafananisha na Waisrael.
Israel ni watafutaji sana wa pesa, wanatumia mbinu nyingi.
Ukimleta Mwisrael hapa Tanzania aje tu na bag lake bila mtaji, atakushangaza baada ya miaka mitano, atakuuzia akili, maarifa namna ya kulima kisasa au kubuni chochote.
Mchaga kwenye pesa sio mtaji pekee.
Kinywa/mdomo wa mchaga unaweza kugeuka mtaji
Wewe mwajiri kufanya lolote yaani mbele ya pesa ni mnyenyekevu sana yuko tayari kumuosha boss miguu tena kiroho safi maadamu tu pesa ni uhakika.
Ndio maana anafanikiwa.
Je..kijana wa KINYAKYUSA anaweza kujishuklsha kiasi hicho?