vidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 361
- 125
Hivi umesoma hiyo habari kwa undani ukaielewa?sidhani kama kila thread kulalamika namna hii itasaidia uwezo wa kushindana na Serikali hauwezi so ni bora kila mtu apambane na life tupate ugali wa wanaotutegemea maisha yaendelee na mleta thread English imemuacha mbali sana alichokiandika na habari yenyewe iliyo ndani ni Mbingu na Ardhi
Jesca ilitakiwa arithi mikoba ya baba yake ili kuendeleza uzalendo wa baba yake Kwa kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka.Naamini tusingekuwa na mamikopo ya ajabuajabu kama alivyosema mzalendo ndugai we have ninety eight trillion of debt under tyrant regime of lice mother.its not fair.