Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

Mabeyo ametukosea sama Watanzania, baada ya shetani wa Chato kufa hakupaswa kurudisha utawala kwa haya manyang'au ya ccm, alipaswa kufanya mapinduzi bila umwagaji damu.
Kuamua kufanya mapinduzi ni jambo moja ila ishu ya kumwaga dam sio lazima iwe ndani ya maamuzi yake,watu au askari wote wanaweza wasikuunge mkono.Alafu sijui nani kawadanganya kuwa wanajeshi ndo waadilifu.Mnaowaona waadilifu ni sababu uadilifu wao haujawahi kuwa tested.
 
Wanajeshi wa Watanzania wameingizwa kwenye mfumo na ccm ni mafisadi tu.

Mwanajeshi anaendeshwa kwenye V8 anakaa masaki utamwambia habari ya mapinduzi?
 
Huyo binti target yake ni ubunge wa viti maalum hapo ataongea kila aina ya takataka ili mradi malengo yake yatimie.

Yani sisi waswahili ni walafi mno huwa haturidhiki.

Kwani kuna shida?

Mbona mke wa kikwete na mtoto wake wote ni wabunge?

Na hampigi kelele
 
Ulaya huwezi ukaona mtoto wa Biden akiwa chawa wa Trump 😂😂😂🙌🙌

Eti SAMIA analipia wadogo zake ada?, Hajui sisi ndio tunatoa hizo fedha!!, Yule jamaa wa Kenya alikuwa sahihi kumwambia Nyerere anaongoza maiti😌.
 
Mimi au wewe?

Mbona mtoto wa mwinyi ni Rais wa zanzibar na mtoto wake mwingine ni mbunge mbona hamsemi kitu?

Mbona mtoto wa Nyerere ni mkuu wa mkoa?

Mbona mtoto wa Samia ni mbunge? Na mkwe wake ni Waziri?

Acheni wivu
Mi nashangaa yaani Magufuli tu ndo iwe nongwa ?mbona wa jk ni waziri , Khaa ila watu jmn
 
Huyu Jesca huko BOT hakumtoshi? Hadi atake ubunge tena?
Pension za baba ake, zinafanya nn hadi watoto walipiwe na Rais? Mafao ya mjane yanaenda wapii?

Akae kimya bhana, hatutaki kupatwa na hasira waja. Lol
Jmn ye aliulizwa akajibu ,wanazengo walitaka adanganye😂
Halafu kwani hii interview Ina maana Ina lengo lingine nn sisi wengine hatujui?

Kumbe Yuko BOT hongera zake
 
Huyu Jesca huko BOT hakumtoshi? Hadi atake ubunge tena?
Pension za baba ake, zinafanya nn hadi watoto walipiwe na Rais? Mafao ya mjane yanaenda wapii?

Akae kimya bhana, hatutaki kupatwa na hasira waja. Lol
Kalewa keki ya taifa,ni mlevi apuuzwe kama walevi wengine wa gin fake.
 
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.

Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa chuo bado wanaendelea kulipiwa ada na Rais.
View attachment 3319574
Zile bilioni alizopigania salma hazitoshi?
 
Back
Top Bottom