Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

Wakati watoto wa Ben Saanane na Azory Gwanda wanawaza na kuamini ipo siku watawaona tena baba zao maana hawajui hata uko walipo ni hai au wafu.

Ni mtanzuko wa fikra kwa familia ya Akwelina wasijue wala kuamini binti yao hayupo tena kwa makosa ya mtawala mwendawazimu.

Hizi interview za huyu binti ni stage managed kumuandaa na safari ya kisiasa hivyo mimi siwezi kuingia kwenye huo mtumbwi .

Maovu aliyoyafanya baba yao ni beyond repair na wala simlaumu ni mfumo mbovu wa nchi umeshindwa kuyaibua mengi .
Ongezea na Ally Kibao
 
Baba yake analipwa msshahara mpaka leo.
Mama yake analipwa mshahara mpaka leo.
Watajengewa na jumba la kifahari kama lile la JAKAYA PALE KAWE
MNAFIKI MKUBWA HUYO
Siyo watajengewa jumba la kifahari ILA WALISHAJENGEWA JUMBA LA KIFAHARI pale ufukweli jirani na Sea Cliff Hotel Masaki ,ndiyo makazi yao ya kifalme.
 
Ndo mana KIBAO alipouliwa alisema " KIFO NI KIFO TU"???
Huyu Kibao mwanajeshi mstaafu aliyeandika andiko la jinsi chadema itakavyounda kikosi cha kijeshi kwa ajili ya uasi? Kwamba alijitolea kutoa mafunzo kwa kundi la kwanza la waasi? Ndio juzi Lissu akaropoka huo mpango
 
Huyu Kibao mwanajeshi mstaafu aliyeandika andiko la jinsi chadema itakavyounda kikosi cha kijeshi kwa ajili ya uasi? Kwamba alijitolea kutoa mafunzo kwa kundi la kwanza la waasi? Ndio juzi Lissu akaropoka huo mpango
Hao waasi wapo wapi?
Aliwafundisha wapi? Mafunzo ya namna gani? Lengo la mafunzo lilikuwa nn?
Hukumu yake ilikuwa kumuua mzee Kibao?
So tukibaliane hapa kwamba kibao aliuwawa na dola kwasababu aliendesha mafunzo!?
Hao waliofunzwa na kibao wako wapi sasa
Jibu kama mtu mwenye akili timanu
 
Mimi au wewe?

Mbona mtoto wa mwinyi ni Rais wa zanzibar na mtoto wake mwingine ni mbunge mbona hamsemi kitu?

Mbona mtoto wa Nyerere ni mkuu wa mkoa?

Mbona mtoto wa Samia ni mbunge? Na mkwe wake ni Waziri?

Acheni wivu
Upuz mtupu...vyeo vya kupozana

Ova
 
Hao waasi wapo wapi?
Aliwafundisha wapi? Mafunzo ya namna gani? Lengo la mafunzo lilikuwa nn?
Hukumu yake ilikuwa kumuua mzee Kibao?
So tukibaliane hapa kwamba kibao aliuwawa na dola kwasababu aliendesha mafunzo!?
Hao waliofunzwa na kibao wako wapi sasa
Jibu kama mtu mwenye akili timanu
Raia wema ndani ya chadema walivujisha siri
 
Huyu Jesca huko BOT hakumtoshi? Hadi atake ubunge tena?
Pension za baba ake, zinafanya nn hadi watoto walipiwe na Rais? Mafao ya mjane yanaenda wapii?

Akae kimya bhana, hatutaki kupatwa na hasira waja. Lol
Uko wapi tuandamane kupinga matumizi mabovu ya kodi zetu? 😹
 
Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.

Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa chuo bado wanaendelea kulipiwa ada na Rais.
View attachment 3319574
Kuna vitu vingine tu a takiwa kuitwa wenda wazimu.
Hivi wana someshaa na Samia au na serikali kwa kodi zetu?? Tuache kumpa mtu sifa za ajabu ambazo hastahili.
 
Back
Top Bottom