G
guest-1790917349
Guest
Duh 🙄 kwani Kuna baya aliloongea kwenye Ile interview?Kimya chao kinawasitiri. Kwani huyu angekaa kimya na kuendelea kula keki ya taifa taratibu angepungukiwa nini.
Duh 🙄 kwani Kuna baya aliloongea kwenye Ile interview?Kimya chao kinawasitiri. Kwani huyu angekaa kimya na kuendelea kula keki ya taifa taratibu angepungukiwa nini.
Sisi ndiyo hatuna akili kabisa tumeruhusu huu upumbavuInauma sana,na bado kuiba waibe na nafasi za vyeo wachukue we acha tu inauma sana
Ndio maana hata chuo ulipata zero, who does she wants to fool? We know the package former presidents, first ladies receive, it's lot of money, kusema kwamba Janet maghufuri mafao ya mume wake hayatoshi kusomesha watoto, ni kututukana matusi,so fucking stupid,Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa chuo bado wanaendelea kulipiwa ada na Rais.
View attachment 3319574
Na yeye ni CCM kama kikwete, ona mke wake mbunge na pension analipwa eti ya kuwa mke tu wa rais. Mwanawe waziri. Yaani kila aina ya ufisadi wanamiliki wao.Huyo binti target yake ni ubunge wa viti maalum hapo ataongea kila aina ya takataka ili mradi malengo yake yatimie.
Yani sisi waswahili ni walafi mno huwa haturidhiki.
Aliyenacho ataongezewa,asiye nacho hata kile kidogo atanyang'amywa.Kuna watoto wa masikini wanakosa hata ada ya VETA lakini kuna matajiri wanalipiwa na wanasubiri uteuzi wakimaliza
Ni formula ya kijinga sn, wananchi hatujitambuiAliyenacho ataongezewa,asiye nacho hata kile kidogo atanyang'amywa.
Watu wakipata uongozi wanashikiria mpini, wananchi mmashika makaliNi formula ya kijinga sn, wananchi hatujitambui
Ndiyo maana nimesema hatuna akili wala umoja, unadhani tukigoma hata kulipa kodi kwa kuungana unadhani watafanya huu ujinga wao?Watu wakipata uongozi wanashikiria mpini, wananchi mmashika makali
Kwa kweli, aaaahKalewa keki ya taifa,ni mlevi apuuzwe kama walevi wengine wa gin fake.
Yaan bora akae kimya, anatia hasira waja ajue, mara ooh zawadi ndogo IST, akati kuna raia hata ndala za kuvaa mguuni hawana.Jmn ye aliulizwa akajibu ,wanazengo walitaka adanganye😂
Halafu kwani hii interview Ina maana Ina lengo lingine nn sisi wengine hatujui?
Kumbe Yuko BOT hongera zake
😂😂😂Yaan bora akae kimya, anatia hasira waja ajue, mara ooh zawadi ndogo IST, akati kuna raia hata ndala za kuvaa mguuni hawana.
Ale keki ya Taifa kimya, sio kutuchefua Waja.
Aaaah
Huyu anataka jimbo Chato pia atawekwa naibu waziri suala la muda tu baada uchaguziAtateuliwa kuwa DC au mbunge viti maalum kama hisani
Yes uongozi wa Tanzania ni wa hisani na shukrani na siyo uwezo na ubunifu wa mtuHuyu anataka jimbo Chato pia atawekwa naibu waziri suala la muda tu baada uchaguzi
Aliongea kama familia imekwama na inasaidiwa hata ada za shule etc kitu ambacho kinafikirisha sana.Duh 🙄 kwani Kuna baya aliloongea kwenye Ile interview?
Acha tu, mwenye akili akiongea hao hao wanao tetewa watakugeuka,Ndiyo maana nimesema hatuna akili wala umoja, unadhani tukigoma hata kulipa kodi kwa kuungana unadhani watafanya huu ujinga wao?
Well said. Uvumilivu una kikomo na ndio maana mwisho wa siku walivurumishwa. Ni swala la muda tu hata ccm itafikia ukomo wa kuitawala nchi hii.Acha tu, mwenye akili akiongea hao hao wanao tetewa watakugeuka,
huwa najiuliza zamani mkoloni alikuwa anabebwa juu kwenye kiti kama maiti wanampeleka mbali wanavuka mpaka mto wanaume 4 au zaidi wanashindwa hata kumrushia mtoni wakakimbia!😅😅 Lakini wanaenda na kurudi!
BOT tena? Si amesema mwenyewe kwenye interview kwamba amesomea Political Science sasa BOT anaenda kufanya siasa gani wajameni?Huyu Jesca huko BOT hakumtoshi? Hadi atake ubunge tena?
Pension za baba ake, zinafanya nn hadi watoto walipiwe na Rais? Mafao ya mjane yanaenda wapii?
Akae kimya bhana, hatutaki kupatwa na hasira waja. Lol
Kwani yule binti wa Lowassa aliyesoma hotel management pale BOT anafanya kazi gani?BOT tena? Si amesema mwenyewe kwenye interview kwamba amesomea Political Science sasa BOT anaenda kufanya siasa gani wajameni?
You are very right! This country is fucked up!Ndio maana hata chuo ulipata zero, who does she wants to fool? We know the package former presidents, first ladies receive, it's lot of money, kusema kwamba Janet maghufuri mafao ya mume wake hayatoshi kusomesha watoto, ni kututukana matusi,so fucking stupid,
Baba yake analipwa msshahara mpaka leo.Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao.
Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa chuo bado wanaendelea kulipiwa ada na Rais.
View attachment 3319574