ππππππOna huyu jamaa.
Beirut iko Central Lebanon mpakani mwa Lebanon na Israel ni Kusini viunga vya Jubeir na maeneo mengine.
Hata ramani huijui unaropokwa.
Propaganda as usual.
Hakuna kitu Israel wanaweza ila ni kuzusha tu wawape matumaini raia wao.
Sasa sijui habari za uongo zitawasaidia nini na kuwapeleka wapi!??