FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Siku zake zinahesabika, na kibaya zaidi, katika nchi ambayo anakandamiza kabila moja na kuinua kabila lake, kuna hatari ya mauaji ya Kimbari kutokea kama akiondoka..Nenda kamkate kama unaweza
Maneno mengi ya Nini mfuate ukazihesabu hizo siku zake pale rwandaSiku zake zinahesabika, na kibaya zaidi, katika nchi ambayo anakandamiza kabila moja na kuinua kabila lake, kuna hatari ya mauaji ya Kimbari kutokea kama akiondoka..
hakandamizi kabila lingine. hamjui mnayosema, pk ni kichaa hana cha kabila lake yeye ukizingua anakuua tuSiku zake zinahesabika, na kibaya zaidi, katika nchi ambayo anakandamiza kabila moja na kuinua kabila lake, kuna hatari ya mauaji ya Kimbari kutokea kama akiondoka..
Haya majeshi ya umoja kwanini hayamalizi vita?Source : DW Swahili leo mchana.
Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.
Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.
Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?
Tanzania mbona kimya?
Kukaa kimya wakati kuna upande tunapaswa kuunga mkono hapo ni sawa na kuunga mkono upande wa adui.Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Ushauri mbovu sana sijapata kuona.Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Wamalizane tu watuachie hayo madini na wanawake zao.Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Kwakweli sina jibu ya swali lako.Wahutu asilimia ngapi, wamatusi asilimia ngapi? 😂
Na kanadeka hakoKa junior ka tz.
Mimi ninajeshi sasa, wacha wenye maajeshi wamshughulikie..Maneno mengi ya Nini mfuate ukazihesabu hizo siku zake pale rwanda
Tz atakua upande gani sasaHivi hii ndoto ya kuwa na Nchi moja ya UNITED STATES OF AFRICA inawezekana kweli kwasababu huu mgogoro wa Kongo ya Mashariki unaweza kugeuka kuwa kati ya SADC vs EAC.
Hahahah, unalooo, hutaki tu ukweli..Kwakweli sina jibu ya swali lako.
Rwanda ndio EA au?Hivi hii ndoto ya kuwa na Nchi moja ya UNITED STATES OF AFRICA inawezekana kweli kwasababu huu mgogoro wa Kongo ya Mashariki unaweza kugeuka kuwa kati ya SADC vs EAC.
Hapana ni vita kati ya wacongomani na kagame na lazima tuiunge mkono serikali halali ya DRC kama wahutu na watutsi wanataka vita wakapiganie Rwanda au BurundiHuko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Nchi za EAC haziwezi kukaa na kuangalia member wao mmoja anavamiwa na SADC.Rwanda ndio EA au?
Kumbe unaongea na huna jeshi nilijua unajeshi kumbe hamna kitu 🤣🤣🤣🤣Mimi ninajeshi sasa, wacha wenye maajeshi wamshughulikie..