Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Siku zake zinahesabika, na kibaya zaidi, katika nchi ambayo anakandamiza kabila moja na kuinua kabila lake, kuna hatari ya mauaji ya Kimbari kutokea kama akiondoka..
Maneno mengi ya Nini mfuate ukazihesabu hizo siku zake pale rwanda
 
Siku zake zinahesabika, na kibaya zaidi, katika nchi ambayo anakandamiza kabila moja na kuinua kabila lake, kuna hatari ya mauaji ya Kimbari kutokea kama akiondoka..
hakandamizi kabila lingine. hamjui mnayosema, pk ni kichaa hana cha kabila lake yeye ukizingua anakuua tu
 
Source : DW Swahili leo mchana.

Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma.

Tayari hayo yakijiri, jeshi lingine la Burundi nchini Congo linapambana na waasi wa M23 wakishirikiana vikosi maalumu vya Congo.

Maelfu ya watu wanaripotiwa kuukimbia mji huo.
Je Burundi wanatafuta nini Congo?

Tanzania mbona kimya?
Haya majeshi ya umoja kwanini hayamalizi vita?
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Kukaa kimya wakati kuna upande tunapaswa kuunga mkono hapo ni sawa na kuunga mkono upande wa adui.

Ukimya ni silaha ya wanafiki na waoga kuunga mkono maadui.
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Wamalizane tu watuachie hayo madini na wanawake zao.
Sisi wa Tz tunaahidi tuta walea vizuri tu wake zao “sisi ni wakarimu mmno”
 
Hivi hii ndoto ya kuwa na Nchi moja ya UNITED STATES OF AFRICA inawezekana kweli kwasababu huu mgogoro wa Kongo ya Mashariki unaweza kugeuka kuwa kati ya SADC vs EAC.
 
Hivi hii ndoto ya kuwa na Nchi moja ya UNITED STATES OF AFRICA inawezekana kweli kwasababu huu mgogoro wa Kongo ya Mashariki unaweza kugeuka kuwa kati ya SADC vs EAC.
Tz atakua upande gani sasa
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
Hapana ni vita kati ya wacongomani na kagame na lazima tuiunge mkono serikali halali ya DRC kama wahutu na watutsi wanataka vita wakapiganie Rwanda au Burundi
 
Burundi nafikiri ni serikali ya wahutu, wameingia kikabila hakuna sababu nyingine, sio security yao au wanawapenda Wacongo ni ukabila tuu
 
Back
Top Bottom