Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Warundi washaingia, wanyarwanda washaingia., waganda wapo mipakani na DRC.
 
unavyoenda kuwasaidia wakongo lazima uwe na historia zuri ya wacheza rumba ...achimenengule

Kuna umuhimu wa kutafuta maandiko ya che quvala
 
Sisi ngozi nyeusi ni matope. Raia Wazungu wanalaumu na kulaani viongozi waliosababisha vita ulaya (Ukraine-Russia war). Sisi humu tunashabikia weusi wenzetu wanavyotoana roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…