Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

Kuna kitu very fundamental ambacho wengi humu wanashindwa kuelewa, wakielewa M23 sio Rwandese na ni wacongo halisi wanaopigania haki zao solution itapatikana kirahisi sana, na vita vitaishi na clip moja Nyerere ameeleza vizuri sana, mwenye nayo aiweke
 
Kwahiyo EAC uliokuwa unazungumzia kupigana na SADC ni ipi? Rwanda ndio EAC?
 
Akili kama hizi ndio zilianzisha genocide na sasa Congolese, ukabila and ignorance ni sumu
 
Kwenye vita vya aina hii hakuna yeyote atakeyetoboa, watakaoumia ni raia tu.
 
Huko pamoto sana..mimi naona kinachoendelea ni vita ya wahutu na watusu nothing more tuwe makini sana tusije kuunga upande wowote ule acheni wamalizane wenyewe huko..
unasahau kuwa wew ni mhutu , au unahis kuna kabila linaitwa wahutu
 
Kama kuna namna yoyote ya kummaliza Kagame hata kwa kutumia snipers itakuwa jambo la heri. Ni itakuwa mwisho wa vita hivi.
 
Kwa wale msiojua, jeshi la Burundi limepewa msaada wa vifaa na kivita na Tanzania, hii ni brainchild ya JK baada ya kuingizwa mchezoni..
(Kama ni kweli)Tanzania itafaidika nini kutapanya pesa za walipa kodi huko Burundi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…