Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.

(Kama ni kweli)Tanzania itafaidika nini kutapanya pesa za walipa kodi huko Burundi??
1.) Biashara kati ya DRC na Tanzania ni kubwa sana, Billions of dollars annually, DRC ikianguka kwa WamaTusi na wakaweka kibaraka wao hapo, biashara yote itahamia Kenya kupitia Rwanda kama middle man…, tutakwisha kiuchumi.., hivho kibandari hapo Dar kitabaki pambo tu.., soko la 110mil. sio dogo…, exports za madini kama copper pia ni biashara kubwa kwa bandari..

2.) Adui mdogo ni nafuu kuliko adui mkubwa. Rwanda ni kaeneo kadogo, ni rahisi kumonitor, ila DRC ikaja kuwa puppet wa Rwanda na maagizo yote yawe yanatoka Rwanda, tutakuwa tumezungukwa na adui mkubwa sana

WE CAN’T RISK THIS!!!

Ikibidi waTz wote tuende front when necessary, kinyume chake tutaingia utumwani kwa Wamatusi bila kupenda..!
 
Hawa jamaa m23 siku tatu tu inatosha kuvuna dhahabu na madini mengine yaliyopo goma Kisha watapeleka Rwanda na Uganda, watapigwa watarudi nyuma ,wanajipqnga wakati mwingine kupata week ya kuvuna Mali goma .
 
Hakuna nchi yeyote ukanda huu anaeweza kukabilisna na Rwanda. Kwa SADC angalau Angola peke ake ndie mwenye afadhali kupiga beto na mnyarwanda. Nje ya SADc ni Ethiopia tu mwenye uwezo huo. Hao wengine ni kelele tu na mbwembwe na tambo za kitoto.
Weka uthibitisho usiotia shaka kuhusu hayo usemayo.
 
Rwanda ipo vizuri mno kwa sasa...
 
Mimi nashauri Serikali ifukuze Watutsi na Wahutu na Warundi walioko hapa Tanzania!
 
Tanzania ahangaike na vita isiyomuhusu, unless kama hao M23 wangekuwa wananyukana karibu sana na mpaka wetu kitu ambacho sio rahisi sababu ya uwepo wa ziwa...

Otherwise anakuwa involved kwenye majeshi ya kulinda amani ya AU au UN...
hz akil ndo zilifanya tukawa koloni la Ujerumani
 
Sio lazima kutegemea bandari, fanyeni kilimo. Zambia, DRC, Uganda na nchi nyingine nyingi tu hazina bandari na maisha yanaendelea vizuri tu. Bandari yenyewe itakuwa mikononi kwa waarabu miaka 30 ijayo.
 
Hawa jamaa m23 siku tatu tu inatosha kuvuna dhahabu na madini mengine yaliyopo goma Kisha watapeleka Rwanda na Uganda, watapigwa watarudi nyuma ,wanajipqnga wakati mwingine kupata week ya kuvuna Mali goma .
Unajua dhahabu inavyochimbwa? Unafikiri ni kufika tu na kuikota??
 
Rwanda bila kuwekewa shinikizo la kiuchumi na wakubwa hii vita ya kikanda itaibuka.
Trump hana muda na Africa, anahangaika kuipata Greenland, Panama na Canada na kuweka tariffs kama mwendawazimu tu.
Ulaya wamevurugwa na Trump hawajui atawaachaje huko Ukraine, NATO na dhidi ya Russia. Hakuna "mkubwa" ana muda na mambo ya Africa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…