T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwani nchi ya US inapatikana Syria?Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]
ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN
Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu
Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
Syria ni mshira mkubwa wa Iran. Israeli na US walianzisha IS maksudi lili waweze kuangusha utawala wa Bashar Al Asaad,na kuweka pandikizi katika Syria ili ushirika na Iran Usiwepo..Kwa sababu Makombora ambayo Hezbollah anatumia kumshinda Israel ni Kutoka Iran na Usafirishwa kupitia Syiria... Angalia ramani ya LevantKna mtu anakwambia kila siku IRAN anapigwa SYRIA wakat IRAN na SYRIA nimataifa mawili tofauti kabisa
Kama wanaweza IRAN kashasema na anasema atakaejaribu kuishambulia JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN hatoachwa nawanaelewa kweli kweli kama hatoachwa.....
Upo sawa kabisa mkuu.Syria ni mshira mkubwa wa Iran. Israeli na US walianzisha IS maksudi lili waweze kuangusha utawala wa Bashar Al Asaad,na kuweka pandikizi katika Syria ili ushirika na Iran Usiwepo..Kwa sababu Makombora ambayo Hezbollah anatumia kumshinda Israel ni Kutoka Iran na Usafirishwa kupitia Syiria... Angalia ramani ya Levant
Cases za TBI ni za kawaida katika jeshi na idadi kubwa ni cases nyepesi pamoja na concussions (mild TBIs). Severe cases ni chache sana.Brain Trauma usiwe unaongelea kishabiki, Trauma inaweza kuwa ni permanent brain damage ikapelekea coma and next ni kifo, i think you know nothin about it kama huongelei kishabiki, kasome madhara ya brain trauma, usiwe unaongea kishabiki.
Mabeberu wanatumiaga nguvu kubwa sana kujitangaza...Angalia sasa wao ndo wanaubirigi haki za binadamuAlisikia. Ila hataki kukubali wala kuamini. Kwani kwake marekani ndio kila kitu
Mbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]
ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN
Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu
Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
Asije akalingamisha nchi yyote katika Middle East na Iran kwenye technologia sio tuu ya silaa bali ya kila kitu....Science ni moja ya fundamental za Mapinduzi Y Kiislam ya 1979......Irak aijawai hata kuunda baruti ...lkn Iran leo hii ina mfumo wa kulinda Anga lake wenye uwezo zaidi ya S300 na Patriotic......Hivi akuskia Ile Dtone iliyoangushwa nini?IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu
IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita
IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kipi kizito zaidi:IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu
IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita
IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mnashangilia nini US kushambuliwa akiwa Syria, kwake pale?ISRAEL kamshambulia IRAN lini !?
ISRAEL anamshambulia SYRIA kila siku nakusisitiza Haitakuja Habari IRAN imeshambuliwa Utaambiwa vikosi vya IRAN vilivyopo SYRIA kama ISRAEL anaweza ashambulie IRAN ili wasimpe sapoti SYRIA kuishambulia SYRIA kwakigezo cha IRAN niutoto.
Unataka kusema Irani imeshawahi kuichakaza Marekani kwakuwa mahuuth wanaosaidiwa na Iran waliipiga Saudi Arabia inayosaidiwa na Marekani!?Mbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nchi ya US inapatikana Syria?
Sahihi MKUUSyria ni mshira mkubwa wa Iran. Israeli na US walianzisha IS maksudi lili waweze kuangusha utawala wa Bashar Al Asaad,na kuweka pandikizi katika Syria ili ushirika na Iran Usiwepo..Kwa sababu Makombora ambayo Hezbollah anatumia kumshinda Israel ni Kutoka Iran na Usafirishwa kupitia Syiria... Angalia ramani ya Levant
IRAN hapeleki silaha kwamagaidi anapeleka Silaha kwanao taka kujilinda kama HIZBULLAHMbona unajipinga mwenyewe. Sasa kama Iran anawapa silaha magaidi unasemaje Israel asiwapige. Unampangia matumizi ya silaha zake, kama unataka wachakazwe wajikusanye tena waende wote wapigwe watulie. Unamuita Israel coward? Ana maadui wanamzunguka kila kona na anawachapa kila siku. Iran akavamie pale badala ya kupeleka silaha kwa magaidi.
wewe ndio unahoja zachekechea sababu inajulikana wazi kama IRAN anajitegemea kisilaha karibu zote japokua zipo anazonunua kma yalivyomataifa mengine nahilo suala la IRAQ kama anatengeneza silaha ama aliwahi tengeneza silaha leta hapa MKUU.Sasa kipi kizito zaidi:
1.Kupiga kambi wakati wa vita wakati wakijua utashambulia tu maana mko vitani, na bado ukaua wanajeshi wa adui (Iraq,1991).
2. Kupiga kambi wakati wa amani wakati wanacheza draft na hujaua hata mmoja, umeleta madhara ya Idris Sultan (Iran,2020).
Kama silaha za Iraq ni reverse, hata hizo silaha za Iran zote mlizoweka tangu uzi unaanza sijaona ya kwake, zote kareverse kama unabisha nitajie silaha yoyote mliyoweka kwenye uzi huu niwape origin version yake. Acha kusumbua watu na hoja za chekechea.
Saa ngapi nimesema Stinger inapiga b-2 mkuu?Kwamba Stinger itaipiga B-2 angani? Hizo si ni silaha za kumpiga helicopters na ground attack jets kama Warthog.
Kwanza kule Iraq mfano tu, hawakudondosha Apache hata moja. Na hizo ATM hawakuharibu Abrams hata moja wakati walikuwa na ngonjera nyingi kabla ya vita kama nyinyi hapa.
Hizo speed boat ndo zipige aircraft carrier? Kwanza zina range gani, boti kama boti izifate carrier kule baharini ndani kabisa, na zipelekwe na nani? Yani shore based defense ndo unataka zitumike kwenye attack, hiyo imekuwa vita ya majirani kwani.
Ni sawa hata Trump alisema wana Headache tu, ni kawaida katika vita kutoa takwimu za uongo, but uhalisia unajulikana.Cases za TBI ni za kawaida katika jeshi na idadi kubwa ni cases nyepesi pamoja na concussions (mild TBIs). Severe cases ni chache sana.
Nayasema haya kulingana na ripoti ambazo zimekuwa zikitolewa na Idara ya Ulinzi ya Marekani (DoD) zinazohusisha majeshi yake yaliyopo duniani kote. Kama unadhani naongea kishabiki, sawa sikukatazi kudhani hivyo!