Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Kwahiyo ww unajua sana kuliko idara ya ulinzi ya Iran!?
Acha ujinga wako
 
T14 Armata

Uko vizuri sna Mkuu shukrani nyingi!

 
hivi iran watastuka lini hawa wajinga, wanadhani bado vita ni za mabomu wakati marekani kawawekea vikwazo kibao vya kiuchumi baada ya miaka 10 watakua maskini kama wenzao venezuela. Marekani sio wa kuchezewa yule mdudu alimtungua mkuu wao wa majeshi na kufanya iran wawe kituko.
 
Nadhani ulikufa umefufuka karne so yako ,kwani 10 na 30 ipi nyingi ? Iran imewekewa vikwazo miaka 30 mfurulizo tena wenyewe wanajisifu vya kiwango Cha juu kabisa lakin ndio amezidi kua mbogo ,juzi katoka kuuza vifaa vya korona ujeruman na Canada vilivyotengenezwa na wataalam wa ndani halafu wewe unasema baada ya miaka 10 watakua masikini hahahaha Ila sikushangai labda kutokana na umri wako ndio maana miaka 10 ukaiona mingi
 
Mwaka 1979 Iran ilipowekewa vikwazo kuna watu kama wewe walijua baada ya miaka 5 tu, Iran itaomba msamaha,guess what?
Ni miaka 40 sasa.
Teknolojia yao imepanda
Sayansi ya nuclear wanayo.
Wanatengeneza silaha za kivita, missiles za masafa, ndege vita na pia wana ushawishi mkubwa kwa vikundi vingi middle East,Kuna vikundi middle East vina wanajeshi wengi kuliko jeshi la Israel, hivyo king wa middle east ushamjua.
Started from the bottom now they are there,
Au unazungumzia vikwazo gani?
 
nimekuelewa vzr mkuu
hekooo
 
Wakati wote huo Irani watakuwa kwenye usingizi wa pono!!!!
Ingekuwa kirahisi hivyo,wangekuwa wameahawapiga toka 1979. Au juzi alipo wageuza mamia wa askari wa marekani kuwa wagonjwa wa mtindio wa ubongo kwenye zile kambi mbili za Iraq
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toka mwaka 1979 ishapita miaka 40s hawajawa maskini endelea kuota tuu.
 
Kombora lile ni la mrusi. Sadamu aliliboresha tuu
 
Al Hussein or al-Husayn (Arabic: الحسين) is the designation of an Iraqi short-range ballistic missile. The missile was the result of upgrading the Soviet made Scud in order to achieve a longer range. The weapon was widely used by the Iraqi Army during the Iran–Iraq War and the Gulf War of 1991.

Al-Hussein



Kwahio hapa hitimisho linafikia nikwamba Saddam Hussein hakuwahi kutengeneza hata baruti halaf ulitegemea yakwamba akampige nani huyu!?
 
hawana vikundi vya majeshi hao wana magaidi, jeshi dhaifu yaani hadi mkuu wao wa majeshi alitunguliwa kama tunavyopiga bata manati, nadhani hata israel wanaotunguaga machuma ya mrusi aliyonunua wana jeshi imara zaidi.
 
iran tatizo mjuaji ndio mana wakamtungua yule mkuu wao wa majeshi mithiri ya kuwinda kuku kwa manati, ilikuwa kazi nyepesi sana kwa us na iran hawatakuja kuweza kufanya walichofanyiwa na us kwa highest ranking officer katika jeshi la marekank.

ila hali ya corona kwa iran ilikuwa mbaya sana wakaomba poo maelfu ya wafungwa waliachiwa, ni heri wangetuiga tu tz hatuna upuuzi huu.

iran mdebwedo tu,
 
Wanashirikiana kwenye muundo wa Ballistics

Binafsi tangu Iran ilipo fanikiwa kushambulia kambi za kijeshi za Merikani nchini Iraq kwa kutumia high precision ballistic missiles, tangu siku hiyo Iran nuliivulia kofia, si Taifa la michezo hata kidogo, hata jeshi la Merikani pamoja na Trump mwenyewe usahihi wa kulenga Shabaha wa ballistic missiles za Iran uliwashtua sana - si hilo tu hata athali za mlipuko wa missiles uliwakumba zaidi ya wanajeshi 90 walikuwa wamejificha kwenye mahandaki saa moja kabla missiles hazijatua kwenye kambi - wanajeshi wa Merikani walinusurika baada ya Jenerali wa Iraq kuwatonya wakuu wa Kambi ya kijeshi ndio maana walikimbilia kujificha kwenye mahandaki la sivyo wengi wao wangekufa, hata hivyo baada ya milipuko wengi wao walikimbizwa Ujerumani kutibiwa.
 
mbna unaweweseka ndugu!!!


kunywa maji kwanza .....
 
Iran wana silaha kibao wamereverse engineer kwa Russian systems, China wana silaha kibao wamekopi, India wame-licence produce jetfighters za Tejas kutoka Sukhoi za Russia.
Xiaomi wameiga baadhi ya mbinu za iPhone.

Kubwa zaidi, Wasovieti waliiba teknolojia ya nyuklia kutokea Marekani. Kwa hiyo wote hao unadai hawana vitu hivyo?
Haya ushahidi kutoka article ileile uliyoleta. Bisha tena...
 
Wakati wote huo Irani watakuwa kwenye usingizi wa pono!!!!
Ingekuwa kirahisi hivyo,wangekuwa wameahawapiga toka 1979. Au juzi alipo wageuza mamia wa askari wa marekani kuwa wagonjwa wa mtindio wa ubongo kwenye zile kambi mbili za Iraq
Mimi nimetaja silaha wewe umeleta vigano vya Kiswahili. Taja hizo silaha au zimefichwa uvunguni kwamba hazionekani wala kujulikana. Silaha lazima zifanyiwe testing na mazoezi. Hawa Iran wanazindua speed boats ambazo nazizidi urefu wanapiga kelele sembuse wawe na silaha nzito wasilinge. Nimewauliza hapo mwishoni, Iran akitaka kuivamia Marekani atatumia SILAHA GANI? Hata Japan walikuwa na akili maandazi kama hivi, kilichotokea walishinda shambulizi moja tu la kushtukiza pa Pearl harbour mpaka vita inaisha hawajashinda battle yoyote ile.
Uganda Iddi Amin alikuwa anabwabwaja hivihivi, akashtukiza akavamia vita ilipoanza akapigwa. Iran itakuwa hivyohivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…