Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hayo mabeberu hayajampanda aone ubaya wake, kila aliyepandwa na beberu kwa nguvu ndiye huyachukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hayo mabeberu hayajampanda aone ubaya wake, kila aliyepandwa na beberu kwa nguvu ndiye huyachukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww unajua sana kuliko idara ya ulinzi ya Iran!?Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.
1. Anashambulia kwa B-2 ambazo ni stealth anaua air defence batteries za Iran.
2. B-1B zinakuja kushambulia bases na vituo muhimu vya jeshi.
3. B-52 ndo zinakuja na tani za mabomu ya kutosha kuharibu factories za silaha na vituo vya umeme.
Hizo ndege zote hapo zina uwezo wa kutokea nyumbani kwenye airbases kibao kama Andersen na Guam.
Akimaliza anakuja majini.
1. Analeta aircraft carriers maeneo ya ghuba ya Aden na Mediterranean sea.
2. Akitoka hapo anatoa ndege zake kina E-2D kwa ajili ya early warning kulinda carrier group. Ndege zinatrack kila missile, boat, warship, na takataka yoyote iliyo umbali wa kutosha around carrier group.
3. Wakati huo ndege kama Poseidon na Sentry zipo angani karibu na Iran kucheki usalama, zina powerful sensors na systems za kutrack submarines na viboti vyao hivyo. Usinambie air defence systems zitazidondosha, zina range ya mbali ambako ground to air missiles hazifiki.
Hizo ndege za Poseidon zinatoa taarifa kwa carrier group kwamba kuna base flani inarusha ndege angani, carrier group inatoa air fighter kina F-16 na F-15, Iran ana ndege gani za kupambana na hizi?
Wakati huo E-2D Advanced Hawkeye inatoa taarifa kwa missiles zinazoifata carrier group, pale kwenye group lazima destroyers kama Arleigh Burke ziwepo. Kazi yake ndo hiyo, kazi ya Arrow 3 ni kutungua anti-ship missiles hizo. Ikishindwa kuna clone-in weapon system (CIWS) kazi yake ni ya mwisho kabisa. Hapa sijazungumzia kabisa masuala ya electronic warfare, F-16 na E-2D ndo kazi yake. Katika ndege zote tuachane na F-22 na F-35, hizi zitawaliza sana maana ni stealth.
Baada ya kuhakikisha hakuna msumbufu baharini, zinaletwa corvette na destroyers karibu na pwani. Amphibious assault ships zinaletwa ku-land wanajeshi. Wanatangulizwa marines na silaha zao complicated (marines wana silaha tofauti kabisa na navy). Wanahakikisha wanashika beach heads, badae ndo wanajeshi regular wanakuja kwa landing crafts.
Kazi ya submarines kama Virginia class hiyo inawekwa pending ikitokea kuna base inaleta usumbufu inachapwa makombora, Iran ana antisubmarine capability? Hana hata kidogo.
Kuna inventory ya silaha kibao hazijatajwa.
Utanambia mbona Iran yeye namponda? Sasa scenario nzima nakupa endapo Iran amepiga bases zote zinazomzunguka, kitu ambacho HAKIWEZEKANI KABISA ila ngoja nifanye kinawezekana. Yani kama unavyoona Saddam Hussein alitumia Scud missiles kushambulia bases around Iraq lakini alishindwa, basi tuamini Iran atashambulia bases zote sijui ziko 12 zilizoko Middle East azimalize. Akitoka hapo Iran atatumia mini kwenda kushambulia New York au Miami? Hapo ndo anapokea kichapo cha mbwa koko.
Hiyo nimetoa simplified scenario. Kuna silaha za Iran hazijulikani, lakini kuna inter US anazikusanya. Jiulize Trump alipata wapi picha iliyo clear kabisa pale rocket raunch ya Iran ilivyofeli? Ni kwakuwa wanaifatilia kwa satellite za kijeshi zenye uwezo mkali, Trump alivyo mjinga anatweet tu hata siri. Zipo silaha nyingi za US hazijulikani, Iran kwamba ataambiwa na Russia, haitomsaidia sana.
Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.

Nadhani ulikufa umefufuka karne so yako ,kwani 10 na 30 ipi nyingi ? Iran imewekewa vikwazo miaka 30 mfurulizo tena wenyewe wanajisifu vya kiwango Cha juu kabisa lakin ndio amezidi kua mbogo ,juzi katoka kuuza vifaa vya korona ujeruman na Canada vilivyotengenezwa na wataalam wa ndani halafu wewe unasema baada ya miaka 10 watakua masikini hahahaha Ila sikushangai labda kutokana na umri wako ndio maana miaka 10 ukaiona mingihivi iran watastuka lini hawa wajinga, wanadhani bado vita ni za mabomu wakati marekani kawawekea vikwazo kibao vya kiuchumi baada ya miaka 10 watakua maskini kama wenzao venezuela. Marekani sio wa kuchezewa yule mdudu alimtungua mkuu wao wa majeshi na kufanya iran wawe kituko.
Mwaka 1979 Iran ilipowekewa vikwazo kuna watu kama wewe walijua baada ya miaka 5 tu, Iran itaomba msamaha,guess what?hivi iran watastuka lini hawa wajinga, wanadhani bado vita ni za mabomu wakati marekani kawawekea vikwazo kibao vya kiuchumi baada ya miaka 10 watakua maskini kama wenzao venezuela. Marekani sio wa kuchezewa yule mdudu alimtungua mkuu wao wa majeshi na kufanya iran wawe kituko.
We utakuwa unatokea mitaa ya ufipa. Huko ndio mnaamini miaka yote,bila Mbowe hakuna upinzaniHata iraq walikuwa na hizo hizo kelele sasa hivi imekuwa kama Somalia tu
wewe utakuwa umetokea mitaa ya lumumba kila kitu unapiga makofi kama zezetaWe utakuwa unatokea mitaa ya ufipa. Huko ndio mnaamini miaka yote,bila Mbowe hakuna upinzani
ZumwaltiKuna lile jimeli lenye mwanga unaolipua vindege, viboti na takataka nyingine mliliona?
Mdada anaambiwa "dadavua" na mvulana legelege "anajikakamua"
nimekuelewa vzr mkuuAmbacho hujui ni kwamba aircraft carrier hazijatengenezwa kwa ajili ya ku launch ballistic missiles, hizo tunasema ni air base iliyoko majini, zimetengenezwa kwa lengo kuwa mahala popote duniani wakihitaji kufika hilo dude liki tulia, hio ni sawa na base ya ndege.
Mfano wakitaka kutumaliza Tanzania wanakuja nalo hadi bahari ya hindi, then ndege vita kama f22 zinakuwa zinakuja dar hapo mnanyewa moto halafu zinakwenda ku load mzigo na mafuta mpaka uombe msamaha.
Carrier zikiwa na missile au silaha za mashambulizi, haziwezi kuwa kama hizo warships, au usifikiri itaweza battle kwa muda mrefu.
Ndio maana hizi meli zinakuwa na escort ya warships, hizi warships ndio zinakabiliana na adui, hata carrier ikiwa na missiles za kujilinda lazima itabidi wabane space kwa ajili ya missiles, kumbuka missiles zinachukua space, ndege zinahitaji fuel na silaha.
Ndege hio ni kama tanker ya mafuta, airport, ghala la silaha na pia sehemu ya maintanace, sasa uongeze na kitengo cha mashambulizi? you cant be serious.
Ku launch missile ni process, ikitokea wakirusha missile toka kwenye carrier, basi ndege itabidi zisimame zisiruke, imagine hicho kipindi mna andaa missile then adui ana wakuta, mnakuwa mmekwisha.
Boat za Iran ni kwa ajili ya kuongeza eneo la ulinzi na roots fupi za kwenye maji kwa ajili ya ulinzi, ila endapo hio carrier ikiwa ni threat usifikiri itapambana na boats, itapambana na missile za kutosha kama zile zilizotua kule Iraq, pia hadi kutumia hilo dude USA atakuwa karibu na maji ya Iran, na Iran atakuwa nyumbani, hapo USA carrier itaangamizwa.
Kumbuka hilo li carrier ni base tu kama ile iliyopigwa kule Iraq ila katika ulinzi linategemea warships.
Wakati wote huo Irani watakuwa kwenye usingizi wa pono!!!!Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.
1. Anashambulia kwa B-2 ambazo ni stealth anaua air defence batteries za Iran.
2. B-1B zinakuja kushambulia bases na vituo muhimu vya jeshi.
3. B-52 ndo zinakuja na tani za mabomu ya kutosha kuharibu factories za silaha na vituo vya umeme.
Hizo ndege zote hapo zina uwezo wa kutokea nyumbani kwenye airbases kibao kama Andersen na Guam.
Akimaliza anakuja majini.
1. Analeta aircraft carriers maeneo ya ghuba ya Aden na Mediterranean sea.
2. Akitoka hapo anatoa ndege zake kina E-2D kwa ajili ya early warning kulinda carrier group. Ndege zinatrack kila missile, boat, warship, na takataka yoyote iliyo umbali wa kutosha around carrier group.
3. Wakati huo ndege kama Poseidon na Sentry zipo angani karibu na Iran kucheki usalama, zina powerful sensors na systems za kutrack submarines na viboti vyao hivyo. Usinambie air defence systems zitazidondosha, zina range ya mbali ambako ground to air missiles hazifiki.
Hizo ndege za Poseidon zinatoa taarifa kwa carrier group kwamba kuna base flani inarusha ndege angani, carrier group inatoa air fighter kina F-16 na F-15, Iran ana ndege gani za kupambana na hizi?
Wakati huo E-2D Advanced Hawkeye inatoa taarifa kwa missiles zinazoifata carrier group, pale kwenye group lazima destroyers kama Arleigh Burke ziwepo. Kazi yake ndo hiyo, kazi ya Arrow 3 ni kutungua anti-ship missiles hizo. Ikishindwa kuna clone-in weapon system (CIWS) kazi yake ni ya mwisho kabisa. Hapa sijazungumzia kabisa masuala ya electronic warfare, F-16 na E-2D ndo kazi yake. Katika ndege zote tuachane na F-22 na F-35, hizi zitawaliza sana maana ni stealth.
Baada ya kuhakikisha hakuna msumbufu baharini, zinaletwa corvette na destroyers karibu na pwani. Amphibious assault ships zinaletwa ku-land wanajeshi. Wanatangulizwa marines na silaha zao complicated (marines wana silaha tofauti kabisa na navy). Wanahakikisha wanashika beach heads, badae ndo wanajeshi regular wanakuja kwa landing crafts.
Kazi ya submarines kama Virginia class hiyo inawekwa pending ikitokea kuna base inaleta usumbufu inachapwa makombora, Iran ana antisubmarine capability? Hana hata kidogo.
Kuna inventory ya silaha kibao hazijatajwa.
Utanambia mbona Iran yeye namponda? Sasa scenario nzima nakupa endapo Iran amepiga bases zote zinazomzunguka, kitu ambacho HAKIWEZEKANI KABISA ila ngoja nifanye kinawezekana. Yani kama unavyoona Saddam Hussein alitumia Scud missiles kushambulia bases around Iraq lakini alishindwa, basi tuamini Iran atashambulia bases zote sijui ziko 12 zilizoko Middle East azimalize. Akitoka hapo Iran atatumia mini kwenda kushambulia New York au Miami? Hapo ndo anapokea kichapo cha mbwa koko.
Hiyo nimetoa simplified scenario. Kuna silaha za Iran hazijulikani, lakini kuna inter US anazikusanya. Jiulize Trump alipata wapi picha iliyo clear kabisa pale rocket raunch ya Iran ilivyofeli? Ni kwakuwa wanaifatilia kwa satellite za kijeshi zenye uwezo mkali, Trump alivyo mjinga anatweet tu hata siri. Zipo silaha nyingi za US hazijulikani, Iran kwamba ataambiwa na Russia, haitomsaidia sana.
Toka mwaka 1979 ishapita miaka 40s hawajawa maskini endelea kuota tuu.hivi iran watastuka lini hawa wajinga, wanadhani bado vita ni za mabomu wakati marekani kawawekea vikwazo kibao vya kiuchumi baada ya miaka 10 watakua maskini kama wenzao venezuela. Marekani sio wa kuchezewa yule mdudu alimtungua mkuu wao wa majeshi na kufanya iran wawe kituko.
Kombora lile ni la mrusi. Sadamu aliliboresha tuuIraq alikuwa na scud missiles alizotengeneza mwenyewe aliziita Al Hussein na ziliua makumi ya maadui. Kuna shambulizi moja aliua Wamarekani 27 kwenye base. Tena Iraq walikuwa wanatumia chemical warheads, hata likifyatuliwa kombola moja tu Wamarekani wanakimbilia kuchukua gas masks.
Hata Israel alishambuliwa na makombora kama 40 lakini US alimlazimisha aijibu mashambulizi, ilikuwa ni mtego ili akiingia Waarabu wamvae.
Al Hussein or al-Husayn (Arabic: الحسين) is the designation of an Iraqi short-range ballistic missile. The missile was the result of upgrading the Soviet made Scud in order to achieve a longer range. The weapon was widely used by the Iraqi Army during the Iran–Iraq War and the Gulf War of 1991.Iraq alikuwa na scud missiles alizotengeneza mwenyewe aliziita Al Hussein na ziliua makumi ya maadui. Kuna shambulizi moja aliua Wamarekani 27 kwenye base. Tena Iraq walikuwa wanatumia chemical warheads, hata likifyatuliwa kombola moja tu Wamarekani wanakimbilia kuchukua gas masks.
Hata Israel alishambuliwa na makombora kama 40 lakini US alimlazimisha aijibu mashambulizi, ilikuwa ni mtego ili akiingia Waarabu wamvae.
hawana vikundi vya majeshi hao wana magaidi, jeshi dhaifu yaani hadi mkuu wao wa majeshi alitunguliwa kama tunavyopiga bata manati, nadhani hata israel wanaotunguaga machuma ya mrusi aliyonunua wana jeshi imara zaidi.Mwaka 1979 Iran ilipowekewa vikwazo kuna watu kama wewe walijua baada ya miaka 5 tu, Iran itaomba msamaha,guess what?
Ni miaka 40 sasa.
Teknolojia yao imepanda
Sayansi ya nuclear wanayo.
Wanatengeneza silaha za kivita, missiles za masafa, ndege vita na pia wana ushawishi mkubwa kwa vikundi vingi middle East,Kuna vikundi middle East vina wanajeshi wengi kuliko jeshi la Israel, hivyo king wa middle east ushamjua.
Started from the bottom now they are there,
Au unazungumzia vikwazo gani?
iran tatizo mjuaji ndio mana wakamtungua yule mkuu wao wa majeshi mithiri ya kuwinda kuku kwa manati, ilikuwa kazi nyepesi sana kwa us na iran hawatakuja kuweza kufanya walichofanyiwa na us kwa highest ranking officer katika jeshi la marekank.Nadhani ulikufa umefufuka karne so yako ,kwani 10 na 30 ipi nyingi ? Iran imewekewa vikwazo miaka 30 mfurulizo tena wenyewe wanajisifu vya kiwango Cha juu kabisa lakin ndio amezidi kua mbogo ,juzi katoka kuuza vifaa vya korona ujeruman na Canada vilivyotengenezwa na wataalam wa ndani halafu wewe unasema baada ya miaka 10 watakua masikini hahahaha Ila sikushangai labda kutokana na umri wako ndio maana miaka 10 ukaiona mingi
Wanashirikiana kwenye muundo wa Ballistics
mbna unaweweseka ndugu!!!iran tatizo mjuaji ndio mana wakamtungua yule mkuu wao wa majeshi mithiri ya kuwinda kuku kwa manati, ilikuwa kazi nyepesi sana kwa us na iran hawatakuja kuweza kufanya walichofanyiwa na us kwa highest ranking officer katika jeshi la marekank.
ila hali ya corona kwa iran ilikuwa mbaya sana wakaomba poo maelfu ya wafungwa waliachiwa, ni heri wangetuiga tu tz hatuna upuuzi huu.
iran mdebwedo tu,
Iran wana silaha kibao wamereverse engineer kwa Russian systems, China wana silaha kibao wamekopi, India wame-licence produce jetfighters za Tejas kutoka Sukhoi za Russia.Al Hussein or al-Husayn (Arabic: الحسين) is the designation of an Iraqi short-range ballistic missile. The missile was the result of upgrading the Soviet made Scud in order to achieve a longer range. The weapon was widely used by the Iraqi Army during the Iran–Iraq War and the Gulf War of 1991.
Al-Hussein
Kwahio hapa hitimisho linafikia nikwamba Saddam Hussein hakuwahi kutengeneza hata baruti halaf ulitegemea yakwamba akampige nani huyu!?
Mimi nimetaja silaha wewe umeleta vigano vya Kiswahili. Taja hizo silaha au zimefichwa uvunguni kwamba hazionekani wala kujulikana. Silaha lazima zifanyiwe testing na mazoezi. Hawa Iran wanazindua speed boats ambazo nazizidi urefu wanapiga kelele sembuse wawe na silaha nzito wasilinge. Nimewauliza hapo mwishoni, Iran akitaka kuivamia Marekani atatumia SILAHA GANI? Hata Japan walikuwa na akili maandazi kama hivi, kilichotokea walishinda shambulizi moja tu la kushtukiza pa Pearl harbour mpaka vita inaisha hawajashinda battle yoyote ile.Wakati wote huo Irani watakuwa kwenye usingizi wa pono!!!!
Ingekuwa kirahisi hivyo,wangekuwa wameahawapiga toka 1979. Au juzi alipo wageuza mamia wa askari wa marekani kuwa wagonjwa wa mtindio wa ubongo kwenye zile kambi mbili za Iraq