Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kama umeelewa vyema nilichosema usingeniuliza swali hilo.
Ni dhahiri na ni wazi kwamba hujanielewa ndiyo maana unarudia kitu kilekile.
Zaidi, ni vyema ukapata kufahamu matumizi sahihi ya maneno 'host' na 'hosting'.
@FRANC THE GREAT mjibu jamaa hapa pengne anaweza akawa kakuelewa kuliko mimi MKUU.....Na wale wanajeshi waliopata mtindio wa ubongo kutokana na shambulio hilo ni wa nchi gani?
Unaongelea mambo rahisi sana MKUU aliuwawa aliuwawa na serikali husika?!Kuteka balozi ndo silaha? Kwahiyo US akiwa anapiga Iran, Iran itakuwa inaenda nchi kadhaa kuteka mabalozi wa US. Iran hana silaha za kushambulia mbali, anazo za kuwa hangaisha majirani na kambi sa karibu. Umtoe Iran umpitishe bahari ya Atlantic kwa kutumia hiyo mitumbwi?
Sasa unaipigaje US wakati hata uwezo wa kufika kwake huna. Kuteka mabalozi hata nyinyi si mnaweza kumteka wa hapa Tanzania kama mmejipanga. Wa US in Libya aliuwawa, kipi cha ajabu kilifanyika?
Wa Russia nchini Turkey aliuwawa kipi cha ajabu kilitokea?
Mwambie Nchi yake ijaribu Kama hivyo vitu vidogo , hamna Nchi hata 1 kati ya nchi za ulaya zinazoweza kufanya alichokifanya Irani shenziiiiiUnaongelea mambo rahisi sana MKUU aliuwawa aliuwawa na serikali husika?!
Kama hana silaha zakushambulia mbali unahisi angepiga Kambi za US pale IRAQ
Unahisi angeshambulia pale SYRIA ana makombora yanayofika mpaka UGIRIKI unataka umbali upi ?!
Unataka sababu gani IRAN wazipate ili wapigwe na US unahisi kupiga kambi sio sababu ?!
Unadhani kuteka Meli ya UK sio sababu ?!
Unadhani kufadhili magaidi wanao dai wali sababisha 9/11 sio sababu ?
Kufadhili magaidi IRAQ walivamia ubaloz wa IRAQ kudhamini magaidi waliopenya mifumo yaulinzi wa US pale SAUDI ARABIA kudhamini Magaidi wa HAMAS kudhamini magaidi wa HIZBULLAH hizi zote hazijawa sababu MKUU ?!
Wakati IRAQ walimtoa madarakani kwasababu ipi ?!
Unatakiwa uelewe IRAN majeshi yao yote yanatambulika kama nimajeshi ya KIGAIDI na US
Sababu ama kipi akikifanya IRAN ndio kwako utakitafsriri kama jamaa ka CROSS LINE ?!
MKUU nchi yake niwazi kabisa yakwamba haiweziMwambie Nchi yake ijaribu Kama hivyo vitu vidogo , hamna Nchi hata 1 kati ya nchi za ulaya zinazoweza kufanya alichokifanya Irani shenziiiii
Anabishana tuu bila ya maanaMKUU nchi yake niwazi kabisa yakwamba haiwezi
Antajie taifa lolote tu ambalo lishafanya aliyoyafanya IRAN dhidi ya US.....
Teh teh teh eti baada ya General wa Iraq kuwashtua,mbona hakuwashtua Iran wakati General wao alipouawa ndani ya Iraq?Binafsi tangu Iran ilipo fanikiwa kushambulia kambi za kijeshi za Merikani nchini Iraq kwa kutumia high precision ballistic missiles, tangu siku hiyo Iran nuliivulia kofia, si Taifa la michezo hata kidogo, hata jeshi la Merikani pamoja na Trump mwenyewe usahihi wa kulenga Shabaha wa ballistic missiles za Iran uliwashtua sana - si hilo tu hata athali za mlipuko wa missiles uliwakumba zaidi ya wanajeshi 90 walikuwa wamejificha kwenye mahandaki saa moja kabla missiles hazijatua kwenye kambi - wanajeshi wa Merikani walinusurika baada ya Jenerali wa Iraq kuwatonya wakuu wa Kambi ya kijeshi ndio maana walikimbilia kujificha kwenye mahandaki la sivyo wengi wao wangekufa, hata hivyo baada ya milipuko wengi wao walikimbizwa Ujerumani kutibiwa.
Hayo makombora ya siri yalijaribiwa uvunguvu mwa kitanda cha Ayatollah?Usichokijua ni kuwa Iran wana makombora ya siri ambayo yamefichwa hayajulikani uwezo wake uko vp au yana nini, ukiachana na hayo makombora ambyo Yanafika Ulaya na Asia, chengine ni kuwa Iran haihitaji kupiga marekani, kumbuka Marekani ina malaki ya wanajeshi bara la Africa Ulaya na Asia so hizo base zake 400 zitawaka moto siku akiamua kukinukisha, Unajua kuwa kuna nchi za ulaya kipindi zile base za marekani ziliposhambuliwa Iraq walisema kuwa wanataka kununua mifumo ya S-400 ya Mrusi ili kujilinda na makombira ya Iran?
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Mishen ilifanywa nanani ?!Teh teh teh eti baada ya General wa Iraq kuwashtua,mbona hakuwashtua Iran wakati General wao alipouawa ndani ya Iraq?
Hapana MKUU kwenye global hawk na Rq 170 na AIN AL ASSAD [emoji4][emoji23][emoji2]Hayo makombora ya siri yalijaribiwa uvunguvu mwa kitanda cha Ayatollah?
Hiyo inaitwa Shock and AweNaona mnajipongeza mwenyewe. US alimuua kamanda wa Iran, Iran imefyatua makombora yakawaharibu kisaikolojia wanajeshi wa US, hii hata Idris Sultan alifanya kwa kumcheka rais. Pale US hakutaka kuua bure lakini angeamua asingeshindwa kitu.
Siku US akiingia vitani na Iran atapiga kwa speed ambayo haijawahi kutokea ili kupunguza muda wa kupanda gharama za mafuta isije ikaua uchumi wa dunia.
US hajaamua kupigana na Iran, lile shambulizi la makombora lilikuwa ni kulipiza kisasi cha Soleimani. Wapigane Wairan wawe wakimbizi bila sababu.
Nimekwisha mjibu.@FRANC THE GREAT mjibu jamaa hapa pengne anaweza akawa kakuelewa kuliko mimi MKUU.....
Kumbe Osama aliuliwa Afghanistan,nilikuwa sijui hili.Mishen ilifanywa nanani ?!
Wakati US walipo dai kumuua OSAMA pale afghanistan unakumbuka serikali ya AFGHANISTAN walisema nini kuhusiana nalile shambulio lililosemekana limeondoka na OSAMA!?
Kumbe zile ndio Balistic Missile za Iran,ziarushwa kutoka Holili Tanzania zinaingia Taveta Kenya?Hapana MKUU kwenye global hawk na Rq 170 na AIN AL ASSAD [emoji4][emoji23][emoji2]
Wanashirikiana kwenye muundo wa Ballistics
same same but different MKUU jina tu hilo ila lengo langu lime elewekaKumbe Osama aliuliwa Afghanistan,nilikuwa sijui hili.
Mpaka mombasa hadi namanga koteKumbe zile ndio Balistic Missile za Iran,ziarushwa kutoka Holili Tanzania zinaingia Taveta Kenya?
Majeshi ya ugaidi na kiongozi wao kauwawa. Huyu hapa akiwa na chaja sijui ya Tecno.Unaongelea mambo rahisi sana MKUU aliuwawa aliuwawa na serikali husika?!
Kama hana silaha zakushambulia mbali unahisi angepiga Kambi za US pale IRAQ
Unahisi angeshambulia pale SYRIA ana makombora yanayofika mpaka UGIRIKI unataka umbali upi ?!
Unataka sababu gani IRAN wazipate ili wapigwe na US unahisi kupiga kambi sio sababu ?!
Unadhani kuteka Meli ya UK sio sababu ?!
Unadhani kufadhili magaidi wanao dai wali sababisha 9/11 sio sababu ?
Kufadhili magaidi IRAQ walivamia ubaloz wa IRAQ kudhamini magaidi waliopenya mifumo yaulinzi wa US pale SAUDI ARABIA kudhamini Magaidi wa HAMAS kudhamini magaidi wa HIZBULLAH hizi zote hazijawa sababu MKUU ?!
Wakati IRAQ walimtoa madarakani kwasababu ipi ?!
Unatakiwa uelewe IRAN majeshi yao yote yanatambulika kama nimajeshi ya KIGAIDI na US
Sababu ama kipi akikifanya IRAN ndio kwako utakitafsriri kama jamaa ka CROSS RED LINE ?!
sasa anakua target na anauwawa akiwa Nje ya IRAN [emoji23][emoji23]Majeshi ya ugaidi na kiongozi wao kauwawa. Huyu hapa akiwa na chaja sijui ya Tecno.View attachment 1468973View attachment 1468974View attachment 1468975
Dah!..mkuu naomba uondoe hizo picha,hazifai kuwekwa hapa... please mkuu....πππMajeshi ya ugaidi na kiongozi wao kauwawa. Huyu hapa akiwa na chaja sijui ya Tecno....
Mkuu unachopaswa kufahamu silaha haipimwi uwezo wake kwa kuangalia ukubwa, nimekuambia hizo boats za Iran zinateka hilo li carrier ambapo nimekuambia hio ni air base iliyoko majini, hizo boats zipo very very fast na uwezo wake unatisha.Mimi nimetaja silaha wewe umeleta vigano vya Kiswahili. Taja hizo silaha au zimefichwa uvunguni kwamba hazionekani wala kujulikana. Silaha lazima zifanyiwe testing na mazoezi. Hawa Iran wanazindua speed boats ambazo nazizidi urefu wanapiga kelele sembuse wawe na silaha nzito wasilinge. Nimewauliza hapo mwishoni, Iran akitaka kuivamia Marekani atatumia SILAHA GANI? Hata Japan walikuwa na akili maandazi kama hivi, kilichotokea walishinda shambulizi moja tu la kushtukiza pa Pearl harbour mpaka vita inaisha hawajashinda battle yoyote ile.
Uganda Iddi Amin alikuwa anabwabwaja hivihivi, akashtukiza akavamia vita ilipoanza akapigwa. Iran itakuwa hivyohivyo.