Mimi nimetaja silaha wewe umeleta vigano vya Kiswahili. Taja hizo silaha au zimefichwa uvunguni kwamba hazionekani wala kujulikana. Silaha lazima zifanyiwe testing na mazoezi. Hawa Iran wanazindua speed boats ambazo nazizidi urefu wanapiga kelele sembuse wawe na silaha nzito wasilinge. Nimewauliza hapo mwishoni, Iran akitaka kuivamia Marekani atatumia SILAHA GANI? Hata Japan walikuwa na akili maandazi kama hivi, kilichotokea walishinda shambulizi moja tu la kushtukiza pa Pearl harbour mpaka vita inaisha hawajashinda battle yoyote ile.
Uganda Iddi Amin alikuwa anabwabwaja hivihivi, akashtukiza akavamia vita ilipoanza akapigwa. Iran itakuwa hivyohivyo.
Mkuu unachopaswa kufahamu silaha haipimwi uwezo wake kwa kuangalia ukubwa, nimekuambia hizo boats za Iran zinateka hilo li carrier ambapo nimekuambia hio ni air base iliyoko majini, hizo boats zipo very very fast na uwezo wake unatisha.
Labda nikuambie kitu kimoja, kuna silaha moja inaitwa Stinger mfano FIM-92 Stinger hio ni Portable air defense system ya kimarekani, hio ni portable na inawekwa begani tu but inapiga airbus 380 na hakuna abiria anabaki kama ndege imebeba abiria 300 ujue wameisha. hio hio stinger ya kubeba begani inapiga hata yale madege ya kirusi ya kivita kama Kamov Ka vizuri tu bila shida.
stinger
Unaifahamu Javelin? hio ni portable pia, ni ya kuweka begani tu, but ni anti tanker mzee, inatungua kifaru huwezi kuamini, minyororo inakaa kulia, engine kushoto, sasa endele kudharau silaha kisa unaizidi urefu, ndio silaha utaizidi urefu, utaizidi uzito, utaibeba but inapotumiwa itakuzidi kila kitu 😂 😂 😂 .
javelin
Hizo boats zina piga rockets, zina vifaa vya kisasa na radar, pia zina uwezo mkubwa wa kuhimili bahari iliyo chafuka, sasa endelea kujidanganya, wanazo boats zaidi ya 1500, thats why unaona USA ina tengeneza laser weapon kuangamiza boats hizo but range ya laser ni fupi (2km) wakati hizo boats zina rocket launcher na heavy machine gun, so what do you expect mzee? Endelea kusema unazizidi urefu.
Seraj-1.