Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Hizo boat mimi ni mrefu kuzizidi ndizo mnasema wametoa onyo kwa Marekani. Hizo zina hata uwezo wa kutoka Mombasa hadi Unguja?
Hizo underwater vehicles US anazo miaka mingi. Russia ndo wanatisha na Poseidon zao.
Mtazame US hapa. View attachment 1465792
Una babaishwa na ukubwa wa pua mkuu.. Umesahau USA walikua na ile drone yao ambayo walikuwa wanaisifu kwa nyimbo zote za mapambio na ilikuwa kubwa haswaa

Lakini waajemi wakaishusha chini hahaa
 
Unatakiwa ujue kabla US akija kukushambulia anafanya aerial denial kwanza. Zile B-2 na B-1B Lancer hazipo kwa ajili ya kutalii angani.
1. Anashambulia kwa B-2 ambazo ni stealth anaua air defence batteries za Iran.
2. B-1B zinakuja kushambulia bases na vituo muhimu vya jeshi.
3. B-52 ndo zinakuja na tani za mabomu ya kutosha kuharibu factories za silaha na vituo vya umeme.
Hizo ndege zote hapo zina uwezo wa kutokea nyumbani kwenye airbases kibao kama Andersen na Guam.

Akimaliza anakuja majini.
1. Analeta aircraft carriers maeneo ya ghuba ya Aden na Mediterranean sea.
2. Akitoka hapo anatoa ndege zake kina E-2D kwa ajili ya early warning kulinda carrier group. Ndege zinatrack kila missile, boat, warship, na takataka yoyote iliyo umbali wa kutosha around carrier group.
3. Wakati huo ndege kama Poseidon na Sentry zipo angani karibu na Iran kucheki usalama, zina powerful sensors na systems za kutrack submarines na viboti vyao hivyo. Usinambie air defence systems zitazidondosha, zina range ya mbali ambako ground to air missiles hazifiki.

Hizo ndege za Poseidon zinatoa taarifa kwa carrier group kwamba kuna base flani inarusha ndege angani, carrier group inatoa air fighter kina F-16 na F-15, Iran ana ndege gani za kupambana na hizi?
Wakati huo E-2D Advanced Hawkeye inatoa taarifa kwa missiles zinazoifata carrier group, pale kwenye group lazima destroyers kama Arleigh Burke ziwepo. Kazi yake ndo hiyo, kazi ya Arrow 3 ni kutungua anti-ship missiles hizo. Ikishindwa kuna clone-in weapon system (CIWS) kazi yake ni ya mwisho kabisa. Hapa sijazungumzia kabisa masuala ya electronic warfare, F-16 na E-2D ndo kazi yake. Katika ndege zote tuachane na F-22 na F-35, hizi zitawaliza sana maana ni stealth.

Baada ya kuhakikisha hakuna msumbufu baharini, zinaletwa corvette na destroyers karibu na pwani. Amphibious assault ships zinaletwa ku-land wanajeshi. Wanatangulizwa marines na silaha zao complicated (marines wana silaha tofauti kabisa na navy). Wanahakikisha wanashika beach heads, badae ndo wanajeshi regular wanakuja kwa landing crafts.

Kazi ya submarines kama Virginia class hiyo inawekwa pending ikitokea kuna base inaleta usumbufu inachapwa makombora, Iran ana antisubmarine capability? Hana hata kidogo.
Kuna inventory ya silaha kibao hazijatajwa.

Utanambia mbona Iran yeye namponda? Sasa scenario nzima nakupa endapo Iran amepiga bases zote zinazomzunguka, kitu ambacho HAKIWEZEKANI KABISA ila ngoja nifanye kinawezekana. Yani kama unavyoona Saddam Hussein alitumia Scud missiles kushambulia bases around Iraq lakini alishindwa, basi tuamini Iran atashambulia bases zote sijui ziko 12 zilizoko Middle East azimalize. Akitoka hapo Iran atatumia mini kwenda kushambulia New York au Miami? Hapo ndo anapokea kichapo cha mbwa koko.

Hiyo nimetoa simplified scenario. Kuna silaha za Iran hazijulikani, lakini kuna inter US anazikusanya. Jiulize Trump alipata wapi picha iliyo clear kabisa pale rocket raunch ya Iran ilivyofeli? Ni kwakuwa wanaifatilia kwa satellite za kijeshi zenye uwezo mkali, Trump alivyo mjinga anatweet tu hata siri. Zipo silaha nyingi za US hazijulikani, Iran kwamba ataambiwa na Russia, haitomsaidia sana.
mara nyingi huwa nakubariana na michango yako ila hapa umeandika pumba tupu

kwaiyo wewe ni military genius kuliko waliopo Pentagon?

kuna uwezekano mkubwa Iran akawa na makombora yenye uwezo wa kufika USA secret tunnel yao sio ya kitoto ina makombora ambayo wanayaoneshaga picha tu bila maelezo

baadhi ya military's experts wanasema kipindi kile kambi za USA zimepigwa Iran walifanya underground nuclear test kama onyo
 
Hujui maana ya "possible scenario"?
Na nani kakwambia Iran wanatest underground nuke na dunia isijue. Mlipuko wa North Korea ambayo ni ya siri zaidi ya Iran kina Russia na US walidetect sembuse kwa Iran. Na wapi nimesema mimi ni military genius?

Eti kuna uwezekano! Iran hawana kombora la kuzidi 5000km. Unatumia vigezo gani kusema kuna uwezekano?
 
Hata iraq walikuwa na hizo hizo kelele sasa hivi imekuwa kama Somalia tu
Huna unalolijua wewe unaandika maneno ya Kwenye khanga tu ,toka lini Iraq akitengeneza silaha zake mwenyew ? Ushabiki mwengine vitu Kama ujui ukae kimya, Iran hamna siraha yeyote anayonunu kuanzia ndege za kivita , makombora, sabumarin mpaka rada mpaka ngao za anga tena no Bora kuliko za uyo us halafu uje kumfananisha na Iraq ambae alijaza silaha kutoka kwa wamagharibi ,sawasawa kinyago ukichonge mwenyew halafu kikutishe. Mmarekani mpaka Sasa hajui makadilio ya nguvu ya jeshi la Iran sababu zana hanunui nje.
 
Saddam Hussen alipokwepo Iran na Iraq nani alikuwa na nguvu kati yao ?
 
Saddam Hussen alipokwepo Iran na Iraq nani alikuwa na nguvu kati yao ?
Alikua IRAQ ila licha yanguvu zake saddam unakumbuka katika vita yakwanza yaghuba alipigana nanani na alikumbana nanini ?!.
 
Saddam Hussen alipokwepo Iran na Iraq nani alikuwa na nguvu kati yao ?
Sadam alikua na nguvu Ila za kusaidiwa na wamagharibi tofauti na Iran usifananishe silaha za kununua au kupewa na za kutengeneza mwenyew, Iraq ilikuwa na nguvu tena ikisaidiwa na vibaraka wake na bado wakashindwa na kumbuka Iran Ile sio hii .usichezee hatar wewe ! Iran hii Kama unafuata mkumbo wa maneno ya wamagharibi uwez kuielewa nguvu zake ili ukifuata matukio unagundua kitu ,tofauti iliopo silaha za Iran haziuzwi kimataifa yani zimekosa promo ndio maana unaona Kama hana chochote.hivi fikilia Ile ndege ya siri mmarekani nateknolojia zake zote alikua anaingiiza Irani akiamini haionekani lakin ilishushwa kwa kombora moja tu Sasa Kama unatumia akili utajua Kama Iran sio Nchi ya kawaida
 
nahisi kashakuelewa kama atataka kua muelewa.....
 
nahisi kashakuelewa kama atataka kua muelewa.....
Ila Kama amekunywa maji ya bendera ya mistari myekundu na nyota nyota hatoelewa Ila Iran kwa nguvu za kijeshi uwezi kuifananisha na taifa lolote lile la ulaya labda kidoogo ujeruman na sina hakika labda ndio anaweza kujaribu.
 
Huna unalolijua wewe unaandika maneno ya Kwenye khanga tu ,toka lini Iraq akitengeneza silaha zake mwenyew ? Ushabiki mwengine vitu Kama ujui ukae kimya, Iran hamna siraha yeyote anayonunu kuanzia ndege za kivita , makombora, sabumarin mpaka rada mpaka ngao za anga tena no Bora kuliko za uyo us halafu uje kumfananisha na Iraq ambae alijaza silaha kutoka kwa wamagharibi ,sawasawa kinyago ukichonge mwenyew halafu kikutishe. Mmarekani mpaka Sasa hajui makadilio ya nguvu ya jeshi la Iran sababu zana hanunui nje.
Iraq alikuwa na scud missiles alizotengeneza mwenyewe aliziita Al Hussein na ziliua makumi ya maadui. Kuna shambulizi moja aliua Wamarekani 27 kwenye base. Tena Iraq walikuwa wanatumia chemical warheads, hata likifyatuliwa kombola moja tu Wamarekani wanakimbilia kuchukua gas masks.
Hata Israel alishambuliwa na makombora kama 40 lakini US alimlazimisha asijibu mashambulizi, ilikuwa ni mtego ili akiingia Waarabu wamvae.
 
Niweke mambo sawa tu.
Iran inaogopwa sana na tuangalie kwa nini inaogopwa?
Toka mwaka 1979 Iran wanaivimbia USA huku wanaitazama USA usoni,licha ya vikwazo vikali imezidi kuwa na vikundi vya kijeshi middle east ikiwemo Lebanon,Syria,Iraq na sasa Yemen.
Kwa maana moja niseme Iran middle East ameiweka kiganjani.

Ukizungumzia vikwazo kwa Iran sio mambo mageni, Iran imewekewa vikwazo ni zaidi ya miaka 40 sasa huku miaka 30 mfululizo ikiwa ni vikwazo vikali zaidi lakini USA ameamua kucheza karata yake ya mwisho hapo 2019 kwa kuongeza sanctions 😂 😂 .

Licha ya Iran kuwa chini ya vikwazo katika huo muda wote wametengeneza ndege vita kama Saeqi ambayo ina uwezo mkubwa wa radar, pia ina uwezo mkubwa wa kutazama ramani chini, avionics mpya na pia wanaweza kuzizalisha kwa wingi.
Kngine ni kwamba jeshi la Iran lina nguvu sio mchezo, wana nguvu katika middle east kuwazidi Saudi ,Bahrain na hao Israel hio iko wazi.
Kumbuka nchi inaipiga drone ya USA kama vile RQ 4 na pia RQ 170 na pia ilisha wateka askari wa marekani, kupiga hizo drone na hazijarudishwa kwenda USA, so jiulize nchi gani nyingine itaweza hivyo?

Iran imeisaidia Syria kuendelea kusimamisha uongozi wao pia Russia imetoa msaada wake.
Wamewamaliza ISIS nchini Iraq na sasa tazama Houthi wa Yemen wanazidi kujitanua zaidi na mliona Saudi ilifanywa nini kwenye vile visima vya mafuta.
Yote hayo yanatokea mbele ya macho ya USA.

Licha ya Iran kutopata msaada wa kijeshi ulimwenguni, waliweza kuindoa Iraq katika eneo lake ndani ya miezi michache mno, kumbuka kuwa wakati huo wakati wa mapinduzi uwezo wake wa kijeshi ulipungua, vifaa vya kijeshi viliharibiwa na hao wakandarasi wa magharibi kabla ya kukimbia, kumbuka hio vita Iran mapinduzi yamefanyika 1978 hadi 1979 na mwaka huo huo Iraq ikisaidiwa silaha bora toka magharibi, askari na pesa toka mataifa mengi ya kiarabu, nchi za ulaya na USA, Licha ya silaha bora toka USA na USSR, Iraq ilipewa msaada wa kifedha na hata silaha za sumu toka kwa wazungu,intelejensia za ku target lengo likiwa kuimaliza kabisa Iran amabayo si muda walikuwa wamefukuzia mbali uongozi ambao ulikuwa ni wa ukandamizaji toka USA.
Lakini Iran ilipambana kiume kwa miaka 8, bila kuomba poo wala samahani, mpaka Sadam akaanza kupiga sumu, what? USA alishika kichwa.(Hii story nitaandaa uzi maalumu kusimulia jinsi gani Iran iliweza kuhumili hii vita licha ya kuwa na uhaba wa silaha na kukosa msaada)

Ndio nasikiaga humu wapuuzi wanasema USA hajaamua, eti akiamua anaimaliza Iran, niwacheke kwanza, kama waliishindwa Iran ya 1979 wataiweza Iran ya leo?

Licha ya kuwa chini ya vikwazo vibaya zaidi katika historia kwa miongo minne, Iran imekuwa inaendeleza uwezo wake katika nuclear, imekuwa na uwezo mkubwa kisayansi kiasi cha kushangaza, sayansi kiwango cha juu mashariki ya kati ukiwatoa Israel inayopewa msaada na USA na mwenzake Saudia.

Iran ina akiba kubwa mno ya mafuta na gesi,utajiri wa madini pia hivyo jamaa wapo vizuri, juzi hapa wamesafirisha mafuta meli 5 toka Iran mpaka Venezuela, USA imebaki ina tazama tu.😂
 
Iraq alikuwa na scud missiles alizotengeneza mwenyewe aliziita Al Hussein na ziliua makumi ya maadui. Kuna shambulizi moja aliua Wamarekani 27 kwenye base. Tena Iraq walikuwa wanatumia chemical warheads, hata likifyatuliwa kombola moja tu Wamarekani wanakimbilia kuchukua gas masks.
Hata Israel alishambuliwa na makombora kama 40 lakini US alimlazimisha aijibu mashambulizi, ilikuwa ni mtego ili akiingia Waarabu wamvae.
Mkuu kama tutaachana nahio scud unaweza ukataja zana nyengine zakijeshi ambazo the late Saddam alikua anaunda mwenyewe hapo awali ?!

Pia nikukumbushe huyo saddam ulokua unamuona ananguvu hapo awali alishapigana vita nahawa hawa IRAN akachemka halaf ulitegemea aje apigane na US ashinde (vichekesho)

Pia IRAQ anga lake likikua chujio linavujisha tu nandio lililopelekea jamaa wakmswaga kama mifugo( anga la IRAN halipitiki kizembe US wenyewe wanatambua hili)

Pia IRAQ walikua wanatumia 90% yasilaha kupigana nahao hao ambao waliwauzia ukiachana na scud ambayo ilikua home made

Pia IRAN kashaonesha mifano halisi kabisa kama anaweza akasimama na US kama ikibidi wakati IRAQ alikua anajua bila ya US hawezi simama hata robo( kama sasa hv tunapo ambiwa SAUDIA ni taifa lenye nguvu kubwa pia zakijeshi pale asia magharibi wakati hata magari ya deraya tu wana agiza kikinuka na US atafanya nini huyu ?!)

unapo izungumzia IRAN na IRAQ nimataifa ambayo hayafanani kivyovyote vile kwenye uwanda wakijeshi.....
 
Niweke mambo sawa tu.
Iran inaogopwa sana na tuangalie kwa nini inaogopwa?
Toka mwaka 1979 Iran wanaivimbia USA huku wanaitazama USA usoni,licha ya vikwazo vikali imezidi kuwa na vikundi vya kijeshi middle east ikiwemo Lebanon,Syria,Iraq na sasa Yemen.
Kwa maana moja niseme Iran middle East ameiweka kiganjani.

Ukizungumzia vikwazo kwa Iran sio mambo mageni, Iran imewekewa vikwazo ni zaidi ya miaka 40 sasa huku miaka 30 mfululizo ikiwa ni vikwazo vikali zaidi lakini USA ameamua kucheza karata yake ya mwisho hapo 2019 kwa kuongeza sanctions [emoji23] [emoji23] .

Licha ya Iran kuwa chini ya vikwazo katika huo muda wote wametengeneza ndege vita kama Saeqi ambayo ina uwezo mkubwa wa radar, pia ina uwezo mkubwa wa kutazama ramani chini, avionics mpya na pia wanaweza kuzizalisha kwa wingi.
Kngine ni kwamba jeshi la Iran lina nguvu sio mchezo, wana nguvu katika middle east kuwazidi Saudi ,Bahrain na hao Israel hio iko wazi.
Kumbuka nchi inaipiga drone ya USA kama vile RQ 4 na pia RQ 170 na pia ilisha wateka askari wa marekani, kupiga hizo drone na hazijarudishwa kwenda USA, so jiulize nchi gani nyingine itaweza hivyo?

Iran imeisaidia Syria kuendelea kusimamisha uongozi wao pia Russia imetoa msaada wake.
Wamewamaliza ISIS nchini Iraq na sasa tazama Houthi wa Yemen wanazidi kujitanua zaidi na mliona Saudi ilifanywa nini kwenye vile visima vya mafuta.
Yote hayo yanatokea mbele ya macho ya USA.

Licha ya Iran kutopata msaada wa kijeshi ulimwenguni, waliweza kuindoa Iraq katika eneo lake ndani ya miezi michache mno, kumbuka kuwa wakati huo wakati wa mapinduzi uwezo wake wa kijeshi ulipungua, vifaa vya kijeshi viliharibiwa na hao wakandarasi wa magharibi kabla ya kukimbia, kumbuka hio vita Iran mapinduzi yamefanyika 1978 hadi 1979 na mwaka huo huo Iraq ikisaidiwa silaha bora toka magharibi, askari na pesa toka mataifa mengi ya kiarabu, nchi za ulaya na USA, Licha ya silaha bora toka USA na USSR, Iraq ilipewa msaada wa kifedha na hata silaha za sumu toka kwa wazungu,intelejensia za ku target lengo likiwa kuimaliza kabisa Iran amabayo si muda walikuwa wamefukuzia mbali uongozi ambao ulikuwa ni wa ukandamizaji toka USA.
Lakini Iran ilipambana kiume kwa miaka 8, bila kuomba poo wala samahani, mpaka Sadam akaanza kupiga sumu, what? USA alishika kichwa.(Hii story nitaandaa uzi maalumu kusimulia jinsi gani Iran iliweza kuhumili hii vita licha ya kuwa na uhaba wa silaha na kukosa msaada)

Ndio nasikiaga humu wapuuzi wanasema USA hajaamua, eti akiamua anaimaliza Iran, niwacheke kwanza, kama waliishindwa Iran ya 1979 wataiweza Iran ya leo?

Licha ya kuwa chini ya vikwazo vibaya zaidi katika historia kwa miongo minne, Iran imekuwa inaendeleza uwezo wake katika nuclear, imekuwa na uwezo mkubwa kisayansi kiasi cha kushangaza, sayansi kiwango cha juu mashariki ya kati ukiwatoa Israel inayopewa msaada na USA na mwenzake Saudia.

Iran ina akiba kubwa mno ya mafuta na gesi,utajiri wa madini pia hivyo jamaa wapo vizuri, juzi hapa wamesafirisha mafuta meli 5 toka Iran mpaka Venezuela, USA imebaki ina tazama tu.[emoji23]
Ameshindwa kuzuia akaamua adanganye ulimwengu kwa kuogopa haibu Kama hatochukua hatua yeyote , eti tunatoa ukomo wa Russia ,na China ya kufanya biashara na Iran hahahaaha hopo ndio utagundua Kama marekani kashakwisha Hana jipya hivyo Kuna kikwazo vipya toka miaka hiyo mpaka leo
 
"Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran.
Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui yoyote"

"Kujipanua kiulinzi wakati unabaki kujitetea ni asili ya kazi yetu" alisema kamanda mkuu wa Meja Jenerali Hossein Salami

Kulingana na Salami, jeshi la Walinzi lilikuwa limeelekezwa kupanua nguvu ya majini ya Iran vya kutosha hivyo kuruhusu uhuru wa nchi na uadilifu, kulinda masilahi ya majini na hatimaye kumwangamiza adui(US).

Ikiwa ni Meli ya nne imeingia Iran kati ya 5, US amezionya nchi ambazo zitajihusisha na kutoa msaada ya juu usafirishaji huo wa mafuta toka Iran to Venezuela. Ikiwa US aliweka vikwazo juu ya Venezuela na Iran, lakini Irani na Venezuela wamesema hapana kwa Amerika kwa niaba ya ulimwengu wote kwa kupuuza vikwazo vya Amerika na hivyo kufanya biashara huru.

Iran inaongeza nguvu ya ulinzi wa majini, vumbi lita timka majini.

c528baf4ca5ffd69ef8598467d379032492031e7.webp

960x0.jpg

1079446558_0:49:1001:590_1000x541_80_0_0_494f6d6875c8d0ae4379357aab647adb.jpg
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbona hao askari wamechoka aisee 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom