Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari.
Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote wakakamavu wa jeshi la Israel wapatao 15000 wako vitani wakisaidiwa na jeshi la akiba la wazee na wastaafu wapatao 26000.
Askari hao 15000 kati yao 10000 wamesambazwa maeneo mbali mbali ya Gaza.2500 waka kaskazini wakipambana na Hezbollah na 2500 wamebakishwa ukingo wa magharibi kupambana na vikundi vya kipalestina ambavyo kila kukicha vimekuwa vikipanda mori wa kupigana na jeshi hilo.
Imeelezwa zaidi kuwa hali hiyo inalifanya jeshi hilo kuchagua maeneo yenye umuhimu na upinzani zaidi kupiga lakini lazima kuachia baadae ,Kwa mfano kwa sasa idadi kubwa ya askari hao wamepelekwa Rafah mpakani na Misri lakini kwa kufanya hivyo inabidi kuachia maeneo ya kaskazini ya Gaza.
Tatizo la ukata wa nguvu kazi ni moja ya sababu ya Ukraine kushindwa kuhimili vishindo vya Urusi.Pamoja na kupokea vifaa vya kisasa vya kivita kutoka nchi marafiki lakini imewahi kuweka hadharani siri yake kwamba vifaa hivyo vikiwemo vifaru vya kizazi kipya vimekosa watu wa kuviendesha.Mabadiliko ya kuzuia waukraine kusafiri nje ya nchi na kupunguza umri wa kuingia jeshini vyote havijaweza kubadili mporomoko wa hamas za vita za jeshi hilo.