Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari.

Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote wakakamavu wa jeshi la Israel wapatao 15000 wako vitani wakisaidiwa na jeshi la akiba la wazee na wastaafu wapatao 26000.

Askari hao 15000 kati yao 10000 wamesambazwa maeneo mbali mbali ya Gaza.2500 waka kaskazini wakipambana na Hezbollah na 2500 wamebakishwa ukingo wa magharibi kupambana na vikundi vya kipalestina ambavyo kila kukicha vimekuwa vikipanda mori wa kupigana na jeshi hilo.

Imeelezwa zaidi kuwa hali hiyo inalifanya jeshi hilo kuchagua maeneo yenye umuhimu na upinzani zaidi kupiga lakini lazima kuachia baadae ,Kwa mfano kwa sasa idadi kubwa ya askari hao wamepelekwa Rafah mpakani na Misri lakini kwa kufanya hivyo inabidi kuachia maeneo ya kaskazini ya Gaza.

Tatizo la ukata wa nguvu kazi ni moja ya sababu ya Ukraine kushindwa kuhimili vishindo vya Urusi.Pamoja na kupokea vifaa vya kisasa vya kivita kutoka nchi marafiki lakini imewahi kuweka hadharani siri yake kwamba vifaa hivyo vikiwemo vifaru vya kizazi kipya vimekosa watu wa kuviendesha.Mabadiliko ya kuzuia waukraine kusafiri nje ya nchi na kupunguza umri wa kuingia jeshini vyote havijaweza kubadili mporomoko wa hamas za vita za jeshi hilo.

Israel army 'stretched' as fighting rages on multiple fronts

SAWA mke wa mkuu wa majeshi
 
Kuna wanajeshi wa akiba lakin 3 walijiandikisha baada ya Oct 7 achilia mbali wale walio active kazini.
 
Kuna wanajeshi wa akiba lakin 3 walijiandikisha baada ya Oct 7 achikia mbali wale alio active kazini.
Ni kawaida vita vinapoanza kutokea watu kama misukule wakajiandikisha na kutaka wapelekwe mstari wa mbele.Baada ya muda wakijua walichokumbana nacho wenzao wote wanayeyuka.
Ukraine askari wa mwanzo waliokuwepo na hao misukule baada ya kufyekwa wote sasa wanakimbia mpaka Zelensky kachanganyikiwa.
 
Mpango wa wanaojifanya mabwana wakubwa wa kidunia wameshirikiana kuwanyima hivyo vitu.
Pamoja na hivyo wanapigana kwa njia za kiajabu sana na hwajashindwa.
Vidume vinapiga huku vinagonga CHAI! Hahahaha!.
 
Attachments

  • warfareanalysis_1280x720_20240604_232704.mp4
    3.5 MB
  • 20240604_232748.jpg
    20240604_232748.jpg
    230.6 KB · Views: 1
Kwa kweli Israel bila msaada wa Marekani angepotezwa kabisa pale na nahisi ameanza kuchoka mno ni hivyo Waisrael karibu wote hawanaga kukata tamaa na hawaamini kushindwa pia hawaamini ukweli bila wao kusema ukweli halisi kwenye uwanja wa medani
 
Hiki ulichoandika ndo kinamtesa Netanyahu. wanatafuta ushindi hata kaM a ni kupiga nuclear .sasa bila kujua,zama za kulinda stata zimeshaapita mambo y 6 day war ndo huwa wanawaduthia hiki kizazi ili na wao wapate hamasi lakin wapi
 
Kama kweli vita vya siku 6 viliwaumiza nchi kadhaa za kiarabu.Baada ya Hamas kuidhoofisha Israel wana nafasi nzuri kuiadhibu nchi hiyo na kuipiga na chini moja kwa moja.
 
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari.

Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote wakakamavu wa jeshi la Israel wapatao 15000 wako vitani wakisaidiwa na jeshi la akiba la wazee na wastaafu wapatao 26000.

Askari hao 15000 kati yao 10000 wamesambazwa maeneo mbali mbali ya Gaza.2500 waka kaskazini wakipambana na Hezbollah na 2500 wamebakishwa ukingo wa magharibi kupambana na vikundi vya kipalestina ambavyo kila kukicha vimekuwa vikipanda mori wa kupigana na jeshi hilo.

Imeelezwa zaidi kuwa hali hiyo inalifanya jeshi hilo kuchagua maeneo yenye umuhimu na upinzani zaidi kupiga lakini lazima kuachia baadae ,Kwa mfano kwa sasa idadi kubwa ya askari hao wamepelekwa Rafah mpakani na Misri lakini kwa kufanya hivyo inabidi kuachia maeneo ya kaskazini ya Gaza.

Tatizo la ukata wa nguvu kazi ni moja ya sababu ya Ukraine kushindwa kuhimili vishindo vya Urusi.Pamoja na kupokea vifaa vya kisasa vya kivita kutoka nchi marafiki lakini imewahi kuweka hadharani siri yake kwamba vifaa hivyo vikiwemo vifaru vya kizazi kipya vimekosa watu wa kuviendesha.Mabadiliko ya kuzuia waukraine kusafiri nje ya nchi na kupunguza umri wa kuingia jeshini vyote havijaweza kubadili mporomoko wa hamas za vita za jeshi hilo.

Israel army 'stretched' as fighting rages on multiple fronts

Siku hizi Alwaz simuoni humu akiripoti kutoka Gaza! Au ndio wewe siku hizi unajiita Webabu?
 
Back
Top Bottom