Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

Dah waarabu wote wale wametulizwa na mtu ana jeshi la watu hata elf 50 hawafiki
 
Hivi uchunguzi wa kubutuliwa na kuuliwa kubwa lao kule maporini umefikia wapi? Yaani wametulia kana kwamba hakuna kilichotokea.
Bada kuna ukungu hivyo wanausubiri uishe
 
Kuna Ahmedinejad na spika wa bunge yeyote atakayepita Raisi alikuwa na huruma sana kwa Israel kuliko hao.
Tangu kuondoka kwa Ebrahim Raisi makundi ndani ya Iraq yameongeza kasi ya kurusha droni ndani ya Israel.
Sasa sijui kipi ni nafuu kwa watu wenye kibri dhidi ya wenzao.
 
Ahmednajad yupi huyu chakavu alishindwa enzi hizo ndo aweze leo ashakuwa zee kachoka?
 
Wanaweza wakafanya mashambulizi kwa kurusha makombora na mashambulizi ya anga.
Ila kwa ground battle itakua ngumu.
Uwezo pekee wa kijeshi ambao umekuwa shida kwa wapalestina ni hizo ndege za kijeshi na mabomu ya kisasa kutoka US.ukiondoa hayo basi Israel katika mwezi wa mwanzo wa vita angekimbia uwanja wa vita.
 
Kwa nini hao hamas wasiombe hizo ndege za kijeshi na mabomu ya kisasa toka kwa marafiki zao iran, russia, north korea, south africa, yemen, somalia, na ulimwengu wa waarab?
 
Mpango wa wanaojifanya mabwana wakubwa wa kidunia wameshirikiana kuwanyima hivyo vitu.
Pamoja na hivyo wanapigana kwa njia za kiajabu sana na hwajashindwa.
 
Yaan hata china, russia, north korea, iran wamewanyima hamas ndege na mabomu ya kisasa?
 
Back
Top Bottom