Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

Wanaendelea na mchakato na lengo litafikia muda si mrefu.Btw pole kwa ban na karibu tena jukwaani.
Unanipa pole kwa ban kwani nalipwa mshahara useme baada ya kupigwa ban niliukosa au?
 
Nitumie ile clip mkuu ya wabunge wa Iran
 
Al Saaf in the making.Mazayuninwalishamaliza kazi.Wiki ijayo wanaenda kusafisha Hizbullah.Kaa mkao wa kula.Mwaka huu si mzuri kwa magaidi
 
Huna akili
 
Wanawapa kipigo wanawake na watoto kwa sababu ndicho wanacho weza.
Mkuu acha propaganda kama waarabu ambazo hazisaidii.
Unajua kwanini uongozi wa HAMA'S hautoi takwimu za wanajeshi wake waliokufa since October 07?????
Na unajua kwanini wanawake na watoto wanajikuta katikati ya mapigano????
 
Mkuu acha propaganda kama waarabu ambazo hazisaidii.
Unajua kwanini uongozi wa HAMA'S hautoi takwimu za wanajeshi wake waliokufa since October 07?????
Na unajua kwanini wanawake na watoto wanajikuta katikati ya mapigano????
Wangekuwa wanatoa hicho kipigo kwa Hamas mpaka sasa hivi kusingekuwa na vita na hamas ingekuwa imeangamizwa maana hamas ni kundi dogo sana ukilinganisha na nguvu alizo tumia kuishambulia gaza mpaka sasa, hii ina maana ya kuwa mashambulizi yake mengi hayawaathiri hamas bali raia wa kawaida.
 
Ila inashangaza asee eti Gaza ilikuwa na bunge. Basi hiyo miswada yote iliyokuwa inapitishwa ilikuwa ya kigaidi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji106]
 
Mkuu hujanijibu swali.
Unajua kwanini hawatoi takwimu??
Nijibu kama unajua ndugu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…