ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Unanipa pole kwa ban kwani nalipwa mshahara useme baada ya kupigwa ban niliukosa au?Wanaendelea na mchakato na lengo litafikia muda si mrefu.Btw pole kwa ban na karibu tena jukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanipa pole kwa ban kwani nalipwa mshahara useme baada ya kupigwa ban niliukosa au?Wanaendelea na mchakato na lengo litafikia muda si mrefu.Btw pole kwa ban na karibu tena jukwaani.
Nitumie ile clip mkuu ya wabunge wa IranKenge hao, hata kipindi kile cha Vita ya Ghuba, walisema America haitafua dafu kwa makombola ya scud ya Sadam,
Walisema hawataweza kumkamata Osama,
Sasa Gaza inachukuliwa, inakuwa makazi ya Jews, natamani kuwaona wabunge wa bunge LA Iran, waliokata mauno na kuserebuka October 7,Hamas walipovamia Israel.
Gaidi ni yule anayeua watu bila makosa huki akirecite maneno ya allahGaidi kwako ni mpigania uhuru kwa wenye kujielewa wote duniani.
Sikushangai mtumwa wa mazayuni.
Wanawapa kipigo wanawake na watoto kwa sababu ndicho wanacho weza.Ila wanawapa kichapo heavy waarabu marijali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Al Saaf in the making.Mazayuninwalishamaliza kazi.Wiki ijayo wanaenda kusafisha Hizbullah.Kaa mkao wa kula.Mwaka huu si mzuri kwa magaidiUmejazwa ujinga ukakujaa.
Watu wasiohusika hakuna aliyepigana nao, walitekwa ili wapalestina waliojazwa majela ya Israel kwa maelfu waachiwe.
Halafu kama haitoshi hao ndiyo imekuwa mtego wa kuwaingiza mazayuni wachezee kichapo mpaka Palestina waipate haki yao. Na mazayuni hapo wamingia kichwa kichwa, sasa hawana pakuytokea, wacha waingie kote wapiga picha za utalii, zitakuwa ukumbusho kwa wenzao, hao unafikiri wote watachomoka hapo walipojiingiza?
Au hilo hulijuwi wewe?
Huna akiliHao wanajeshi ni makondoo waliopotea wanatafuta ushindi wa kijinga wa picture ili waonekane walifika Gaza [emoji1]
Kuna sehemu zingine Gaza ni km 0.6km kutumia njia ya bahari labda hata hilo bunge liko area za baharini ndio sababu wamefika, tuonyesheni mmefika Gaza city? Au hio Al Shifa Hospital mmeisha fika au bado?
Mkuu acha propaganda kama waarabu ambazo hazisaidii.Wanawapa kipigo wanawake na watoto kwa sababu ndicho wanacho weza.
Wangekuwa wanatoa hicho kipigo kwa Hamas mpaka sasa hivi kusingekuwa na vita na hamas ingekuwa imeangamizwa maana hamas ni kundi dogo sana ukilinganisha na nguvu alizo tumia kuishambulia gaza mpaka sasa, hii ina maana ya kuwa mashambulizi yake mengi hayawaathiri hamas bali raia wa kawaida.Mkuu acha propaganda kama waarabu ambazo hazisaidii.
Unajua kwanini uongozi wa HAMA'S hautoi takwimu za wanajeshi wake waliokufa since October 07?????
Na unajua kwanini wanawake na watoto wanajikuta katikati ya mapigano????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji106]Ila inashangaza asee eti Gaza ilikuwa na bunge. Basi hiyo miswada yote iliyokuwa inapitishwa ilikuwa ya kigaidi tu.
Mkuu hujanijibu swali.Wangekuwa wanatoa hicho kipigo kwa Hamas mpaka sasa hivi kusingekuwa na vita na hamas ingekuwa imeangamizwa maana hamas ni kundi dogo sana ukilinganisha na nguvu alizo tumia kuishambulia gaza mpaka sasa, hii ina maana ya kuwa mashambulizi yake mengi hayawaathiri hamas bali raia wa kawaida.
Ww niambie kwann hawa toi takwimu.Mkuu hujanijibu swali.
Unajua kwanini hawatoi takwimu??
Nijibu kama unajua ndugu??
Yesu alitupa wote agizo kuu kuwa tuenende wote tukaihubiri injili kwa kila kiumbe mwananguKwani wewe ni mchungaji?😂
Nitakujibu..Ww niambie kwann hawa toi takwimu.
Yesu ni mungu na agizo lake ni amri mkuu.Yesu alitupa wote agizo kuu kuwa tuenende wote tukaihubiri injili kwa kila kiumbe mwanangu
Badala ujibu swali umeuliza swali tena[emoji38]Nitakujibu..
Unakumbuka October 07 zaidi ya wapiganaji 3000 walivamia Israeli kutokea gaza.
Unajua wangapi walirudi hai Gaza na mateka???
Hiyo 3000 ni kwa mujibu wa nani?Nitakujibu..
Unakumbuka October 07 zaidi ya wapiganaji 3000 walivamia Israeli kutokea gaza.
Unajua wangapi walirudi hai Gaza na mateka???
HakikaYesu ni mungu na agizo lake ni amri mkuu.
Swali zuri mkuu.Hiyo 3000 ni kwa mujibu wa nani?
Wakubali wakatae mkuu.Hakika