Mkuu uwe una jibu maswari unayo ulizwa nime kuuliza hiyo idadi wa wapiganaji 3000 kuingia Israel ni kwa mujibu wa nani ? mbona ndo mara ya kwanza kusikia kwako?Swali zuri mkuu.
Unadhani walipoingia Israel October 07 walikutana na akina nani??
Siku ya 38 leo. Wameanza kupata wehu huko, inabidi wakodishe "mercenaries".Al Saaf in the making.Mazayuninwalishamaliza kazi.Wiki ijayo wanaenda kusafisha Hizbullah.Kaa mkao wa kula.Mwaka huu si mzuri kwa magaidi
Mbona wameteka wasiohusika watanzania wenzetu wawil Mollel na Mtenga na hawajawaachia hadi leo.hao Hamas wakoUmejazwa ujinga ukakujaa.
Watu wasiohusika hakuna aliyepigana nao, walitekwa ili wapalestina waliojazwa majela ya Israel kwa maelfu waachiwe.
Hapo ndio tunakwenda kwenye majibu.Mkuu uwe una jibu maswari unayo ulizwa nime kuuliza hiyo idadi wa wapiganaji 3000 kuingia Israel ni kwa mujibu wa nani ? mbona ndo mara ya kwanza kusikia kwako?
Na usisahau leo ni siku ya 38 toka Hamas wateke Watanzania wenzetu wawili.Mollel na Mtenga hawajawaachia usiongelee tu.hao waarabu wako wa Palestina tuna Watanzania wenzetu wako mateka mikononi mwao HamasSiku ya 38 leo. Wameanza kupata wehu huko, inabidi wakodishe "mercenaries".
Unalielewa hilo?
Na mtumwa wa wamatumbi ni nani?NB:HUYO NI MTUMWA WA MAZAYUNI.
HANA TOFAUTI NA WEWE MTUMWA WA MAARABU.
Waziri wa elimu wa DRC kwanza heshima yako.Na mtumwa wa wamatumbi ni nani?
Bunge ni zaidi ya jengo.ilo ni bunge au darasa?
Being in the wrong place at the wrong time.Na usisahau leo ni siku ya 38 toka Hamas wateke Watanzania wenzetu wawili.Mollel na Mtenga hawajawaachia usiongelee tu.hso waarabu wako wa Palestina tuna Watanzania wenzetu wako mateka mikononi mwao Hamas
Bibi na wewe ni mtumwa wa magaidi?Sikushangai mtumwa wa mazayuni.
Nina uzi kuhusu huko kachangie mkuu
OkNitumie link ya huo uzi
ulituambia Hamas wanawanyoosha IDF ground battle vipi unasemaje sasa ?! Mkasema IDF inapiga watoto na wanamake tu vita hawawezi vipi je hapo wapo clinic eti ?Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa wenye kujielewa wote duniani.
Sikushangai mtumwa wa mazayuni.
Kivipi wakati wao kule walienda kusomaBeing in the wrong place at the wrong time.
Yaani hapa naona ulivyojijaza imani kama ya bikra 72.Na mazayuni hapo wamingia kichwa kichwa, sasa hawana pakuytokea, wacha waingie kote wapiga picha za utalii, zitakuwa ukumbusho kwa wenzao, hao unafikiri wote watachomoka hapo walipojiingiza?
Kula chuma iko mpaka usemeUmejazwa ujinga ukakujaa.
Watu wasiohusika hakuna aliyepigana nao, walitekwa ili wapalestina waliojazwa majela ya Israel kwa maelfu waachiwe.
Halafu kama haitoshi hao ndiyo imekuwa mtego wa kuwaingiza mazayuni wachezee kichapo mpaka Palestina waipate haki yao. Na mazayuni hapo wamingia kichwa kichwa, sasa hawana pakuytokea, wacha waingie kote wapiga picha za utalii, zitakuwa ukumbusho kwa wenzao, hao unafikiri wote watachomoka hapo walipojiingiza?
Au hilo hulijuwi wewe?
Haulipwi mshahara lakini muda mwingi upo hapa nimekupa pole sababu kwa kiasi flan ulikosa access ya kuchangia mada mbali mbali kama ilivyo kawaida yao.Hakuna anaelipwa mshahara hapa zaidi ya waajiriwa wa JF.Unanipa pole kwa ban kwani nalipwa mshahara useme baada ya kupigwa ban niliukosa au?