Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hi habari kaingoe huyu Gen wa America lakini wameziblock tube anazo ongea hivyo lakini hi warabu waliwahi idaka tazama katika 2.43 to ataongea huyo Gen wa America anajulikana sana kuhusu Special force ya America na Jeshi la Israel walipoingia Gaza wote wamerudi maiti lakini aliposema wote wamekufa wameiblock pia sauti yake.Tupe chanzo Cha hii habari yako
Sauti wameiblock ila wewe umeisikia?Hi habari kaingoe huyu Gen wa America lakini wameziblock tube anazo ongea hivyo lakini hi warabu waliwahi idaka tazama katika 2.43 to ataongea huyo Gen wa America anajulikana sana kuhusu Special force ya America na Jeshi la Israel walipoingia Gaza wote wamerudi maiti lakini aliposema wote wamekufa wameiblock pia sauti yake.
View: https://youtu.be/8YuuJkLwMK0?si=GaWYtc4jqY5URZQ5
Walipewa masharti nafuu sana kuwa wawaachie mateka mambo yaishe,
Aliongea kabisa takutaftia ingine lakini we si umepewa akili sa alikuwa anaangolea kuhusu US special force ni kipande kile alicho sema US were killed ndio wamezuia lakini zile tube za mwanzo wengi wamesikia.Sauti wameiblock ila wewe umeisikia?
Israel sio Kenya wala TzKwa hiyo kipaumbele cha kuifuta Hamas kimeisha ?