Jeshi la Israel limeanza kuingia Gaza

Jeshi la Israel limeanza kuingia Gaza

Hi habari kaingoe huyu Gen wa America lakini wameziblock tube anazo ongea hivyo lakini hi warabu waliwahi idaka tazama katika 2.43 to ataongea huyo Gen wa America anajulikana sana kuhusu Special force ya America na Jeshi la Israel walipoingia Gaza wote wamerudi maiti lakini aliposema wote wamekufa wameiblock pia sauti yake.


View: https://youtu.be/8YuuJkLwMK0?si=GaWYtc4jqY5URZQ5

Sauti wameiblock ila wewe umeisikia?
 
Sauti wameiblock ila wewe umeisikia?
Aliongea kabisa takutaftia ingine lakini we si umepewa akili sa alikuwa anaangolea kuhusu US special force ni kipande kile alicho sema US were killed ndio wamezuia lakini zile tube za mwanzo wengi wamesikia.

Gazeti hilo la kiarabu pia limeandika vile, Aljazeera pia wameleza vile.
 
Back
Top Bottom