johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel.
Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” kwenye makao makuu ya Hezbollah yaliyoko kusini mwa mji mkuu huo.
Katika taarifa iliyotangazwa kwenye televisheni, msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, alisema “kituo cha amri kuu” kilikuwa kimejificha ndani ya maeneo ya raia.
Soma Pia: Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut
Al Jazeera news
Thick clouds of smoke are rising from the Lebanese capital Beirut after multiple explosions. Israel’s military says it carried out a “precise strike” on the central headquarters of Hezbollah in the capital’s south.
In a televised statement, Israeli military spokesperson Daniel Hagari said the “central command centre” was embedded deep within civilian areas.
More soon.