Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Ataongea nin wakati yeye ndiyo mwanzilishi wa hili taifa la Israelhivi kwanini UK ipo kimya sana kwenye hili sakata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataongea nin wakati yeye ndiyo mwanzilishi wa hili taifa la Israelhivi kwanini UK ipo kimya sana kwenye hili sakata
Ndo maana nataka kumsikia ana view ganiAtaongea nin wakati yeye ndiyo mwanzilishi wa hili taifa la Israel
Nasrallah is no longer in this world.Subirini huko chemical ya Haifa atajavyo fumuliwa weka akili si chini ya watu 500,000 watakufa.
Apana. Yeye ndo alkua anatumia avatar yanguHii avatar yako alikua anaitumia mwanangu Bichwa komwe au umebadili jina?
Ahaaa sawa sawa mkuuApana. Yeye ndo alkua anatumia avatar yangu
Wewe jamaa niliacha kukujibu baada ya kuhisi una shida ya afya ya akili. Yani vitu unavyoandika ni very illusional.Subirini huko chemical ya Haifa atajavyo fumuliwa weka akili si chini ya watu 500,000 watakufa.
Kumbe mwenzetu una brain scan safi sana anza kuzipima zako utapata jibu ni 95 haziko sawa 😄Wewe jamaa niliacha kukujibu baada ya kuhisi una shida ya afya ya akili. Yani vitu unavyoandika ni very illusional.
Wawepo popote pale hata Kizimkazi ila hamaa anawawaisha sana ahera.Mateka wako wapi?
Nafurahia magaidi kuuliwa na sio waislamu.Endelea kufurahia waislamu kuuawa, hujui baada ya umauti kuna nini! Poleni sana
Sunni wataanza kupigana Vita ya Jihaad dhidi ya Shia na atakae wahi kufa atazawadiwa Wanawake 73 ambao hawajawahi kulala na Mwanamme.hata wakimuondoa Israel bado watapigana wenyewe
Ni uongo tu mkuu, sisi tuliowahi kwenda kule hatukuona kitu kama hicho ikabidi tujirudie zetu!Ila kama hii ahadi ya bikra huko kama ni kweli basi kuna kula bata sana huko
Haaahaaa!!! Bangi mbaya sanaNi uongo tu mkuu, sisi tuliowahi kwenda kule hatukuona kitu kama hicho ikabidi tujirudie zetu!
Utani tu mkuu!Haaahaaa!!! Bangi mbaya sana
Nafurahia magaidi kuuliwa na sio waislamu.
GOD BLESS ISRAEL
Bado unaamini hayo maneno ya huyo waziriWaziri wa Afya anasema Watu ni waili tu wamekufa na 76 wamejeruhiwa.. ni aina ya kichekesho au walijua wakahama wote pu
The only mind blowing thing here is the fact that this argument is still used and people gobble it up.Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel.
Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” kwenye makao makuu ya Hezbollah yaliyoko kusini mwa mji mkuu huo.
Katika taarifa iliyotangazwa kwenye televisheni, msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, alisema “kituo cha amri kuu” kilikuwa kimejificha ndani ya maeneo ya raia.
Soma Pia: Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut
Al Jazeera news
Thick clouds of smoke are rising from the Lebanese capital Beirut after multiple explosions. Israel’s military says it carried out a “precise strike” on the central headquarters of Hezbollah in the capital’s south.
In a televised statement, Israeli military spokesperson Daniel Hagari said the “central command centre” was embedded deep within civilian areas.
More soon.
KabisaSioni sababu ya msingi ya kupigana (kuuana ) hapa duniani wakati tumekuja kutalii tu kwa muda kidogo kisha turejee tulikotoka.