Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

Nchi gani hiyo ta ahadi? Hamuoni nyie mnasoma vitabu vinavyo wapotesha. Mussa alitoka Misri kwenda Saud Arabia au Yemen. Alipita Red sea sa Israel kuna Red Sea? We ngojea tu ukifa ndio utajua Paulo kawauza kweli. Kaburi ndio mtihani wa mwanzo usidhani utalala pale usingizi.
We hizo story za kuandaa lodge kwaaji ya nyie kwenda kufanya ngono na kulewa pombe unaziamin bro?
 
Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel.

Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” kwenye makao makuu ya Hezbollah yaliyoko kusini mwa mji mkuu huo.

Katika taarifa iliyotangazwa kwenye televisheni, msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, alisema “kituo cha amri kuu” kilikuwa kimejificha ndani ya maeneo ya raia.

Soma Pia: Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Al Jazeera news

Thick clouds of smoke are rising from the Lebanese capital Beirut after multiple explosions. Israel’s military says it carried out a “precise strike” on the central headquarters of Hezbollah in the capital’s south.

In a televised statement, Israeli military spokesperson Daniel Hagari said the “central command centre” was embedded deep within civilian areas.
More soon.
Vita vya k**snge anapigwa mmoja tu. Raha ya kupigana ni piga nikupige. Kama urusi na ukraine. Hii vita inaboa. Vitagani hadi makamanda wanakua soft target kama raia. .. umoja wa mataifa wakomeshe hii vita.
 
Nadhani Mwenyezi Mungu huwa anawashangaa sana wanadamu.
Watu wanapambana utadhani hii dunia wanaishi milele.
Ila hapo middle east kuna watu watata Sana.
Pale hata wakimuondoa Israel bado watapigana wenyewe Kwa wenyewe.
Mfano Sudan wote ni dini moja,ila ukiangalia wale makamanda wanavyopambana kutaka madaraka huku watu wanakufa na wengine kukimbia nchi yao unastaajabu sana.
Ngoja tuone mwishowake utakuaje.
Ila ningekuwa na uwezo kuna kizazi na ukanda fulani ningeuondoa kabisa huku Duniani
Katika mistake kubwa aliyofanya Sir God kwetu wanadamu ni kuruhusu kuzaliwa kwa Yule.mme wa Aisha(6).

Yule mkuresh katuletea shida sana humu duniani. Yaani ni bora alivyomuacha Lucider akiwa hai kuliko kumuacha mkuresh aishi duniani. Changamoto kweli.
 
Vita vya k**snge anapigwa mmoja tu. Raha ya kupigana ni piga nikupige. Kama urusi na ukraine. Hii vita inaboa. Vitagani hadi makamanda wanakua soft target kama raia. .. umoja wa mataifa wakomeshe hii vita.
Hawawezi komesha kwani wajukuu wa allah wanatakiwa wafanywe hivi wafanywavyo.
 
Sioni sababu ya msingi ya kupigana (kuuana ) hapa duniani wakati tumekuja kutalii tu kwa muda kidogo kisha turejee tulikotoka.
Kwenye utalii hako ni kaugomvi tu bar walevi kadhaa wameshindwa kuelewana
 
  • Thanks
Reactions: K11
yani hawa hezbollah ni wajinga sana mimi ningewaona wajanja kama wangejuandaa na makombors au airdfence za kupambana na ndege. za islael tofauti na hapo naona wamecheza karata chafuu kwani wataoumia sana. wamekurupuka sasa ndege za islael zinajipigia na kusepaa
Broda vita inapiganwa mezan kabla ya front. Hawa kenge walifikir wakishakuwa na makombora wamemaliza. Hicho Israel alichowafanyia ni kama kuwapiga mande au kuwabaka. Kwanza kaingilia mawasiliano yao yote kujua mipango yao kisha kulipua zile pages ambao ni wapiganaji wao tatu kaua viongoz karibu wote ile chen of commanding so wamebakiwa na mavyuma hawajui waanzie wapi maana hakuna wa kutoa order. Hakuna simu kwamba piga sasa au pale ni mpiganaji mwenyewe akiwa front apige lakin hakuna wa kutoa order. Sasa kila mtu anaokoa maisha yake.
 
Nchi gani hiyo ta ahadi? Hamuoni nyie mnasoma vitabu vinavyo wapotesha. Mussa alitoka Misri kwenda Saud Arabia au Yemen. Alipita Red sea sa Israel kuna Red Sea? We ngojea tu ukifa ndio utajua Paulo kawauza kweli. Kaburi ndio mtihani wa mwanzo usidhani utalala pale usingizi.
Nchi gani hiyo ta ahadi? Hamuoni nyie mnasoma vitabu vinavyo wapotesha. Mussa alitoka Misri kwenda Saud Arabia au Yemen. Alipita Red sea sa Israel kuna Red Sea? We ngojea tu ukifa ndio utajua Paulo kawauza kweli. Kaburi ndio mtihani wa mwanzo usidhani utalala pale usingizi.
Kuna wakati mnakuwa kama mhamnazo, kwa hiyo Red sea inapakana na Egypt?
Nchi gani hiyo ta ahadi? Hamuoni nyie mnasoma vitabu vinavyo wapotesha. Mussa alitoka Misri kwenda Saud Arabia au Yemen. Alipita Red sea sa Israel kuna Red Sea? We ngojea tu ukifa ndio utajua Paulo kawauza kweli. Kaburi ndio mtihani wa mwanzo usidhani utalala pale usingizi.
 
Vita vya k**snge anapigwa mmoja tu. Raha ya kupigana ni piga nikupige. Kama urusi na ukraine. Hii vita inaboa. Vitagani hadi makamanda wanakua soft target kama raia. .. umoja wa mataifa wakomeshe hii vita.
Hii avatar yako alikua anaitumia mwanangu Bichwa komwe au umebadili jina?
 
Back
Top Bottom