Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Kasome historia wewe au umedanganywa Msikitini? Hao kujiita Wapalestina ni baada ya Arafat kuanzisha chama chake cha Ugaidi PLO. Kabla ya hapo waliishi na Wayahudi ila wakawa wanawanyanyapaa na kuanza kuwaua kisiri mfano kule upande wa Jordan waliwateketeza wayahudi wote...Kwani nani gaidi pale. Nafikiri Israel ndiyo Gaidi namba moja. Wale Palestine wanapigania ardhi yao ambayo inakaliwa kimabavu na magaidi Israel. 🤔
Arab hao walihamia kama vijakazi tu wakaanza kuzaliana kama wapemba then wanajidai ni kwao chuki ndio zimewafikisha sasa kutaka kuwaangamiza wayahudi na hawatoweza kamwe