Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ila ukiangalia jinsi viongozi wa juu wa Hizbullah wanavyouliwa na Israel huyo Hassan Nasraillah kama Leo amenusurika basi siku zake za mwisho za kuishi hapa duniani haziko mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo lini?Tangu enzi za mababu na mababu
Netanyahu mwenyewe siku zake haziko mbali,ana kiharusi,kifo chake kitakua cha matesoIla ukiangalia jinsi viongozi wa juu wa Hizbullah wanavyouliwa na Israel huyo Hassan Nasraillah kama Leo amenusurika basi siku zake za mwisho za kuishi hapa duniani haziko mbali
Iran mafala sana, Hezbollah wamezidiwa wakawaomba watume jeshi liwasaidie kupambana kama walivyowaahidi, yeye anawaambia "hao mnawaweza kabisa bila hata sisi kuja, wakija wafyatulieni zile bunduki tulizowapeni, zifyatueni kama tulivyowafundisha, assalaam alaykum"😅Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel.
Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” kwenye makao makuu ya Hezbollah yaliyoko kusini mwa mji mkuu huo.
Katika taarifa iliyotangazwa kwenye televisheni, msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, alisema “kituo cha amri kuu” kilikuwa kimejificha ndani ya maeneo ya raia.
Soma Pia: Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut
Al Jazeera news
Thick clouds of smoke are rising from the Lebanese capital Beirut after multiple explosions. Israel’s military says it carried out a “precise strike” on the central headquarters of Hezbollah in the capital’s south.
In a televised statement, Israeli military spokesperson Daniel Hagari said the “central command centre” was embedded deep within civilian areas.
More soon.
How long did Britain rule Palestine?Kasome historia wewe au umedanganywa Msikitini? Hao kujiita Wapalestina ni baada ya Arafat kuanzisha chama chake cha Ugaidi PLO. Kabla ya hapo waliishi na Wayahudi ila wakawa wanawanyanyapaa na kuanza kuwaua kisiri mfano kule upande wa Jordan waliwateketeza wayahudi wote...
Arab hao walihamia kama vijakazi tu wakaanza kuzaliana kama wapemba then wanajidai ni kwao chuki ndio zimewafikisha sasa kutaka kuwaangamiza wayahudi na hawatoweza kamwe
😂😂😂🤣Iran mafala sana, Hezbollah wamezidiwa wakawaomba watume jeshi liwasaidie kupambana kama walivyowaahidi, yeye anawaambia "hao mnawaweza kabisa bila hata sisi kuja, wakija wafyatulieni zile bunduki tulizowapeni, zifyatueni kama tulivyowafundisha, assalaam alaykum"😅
Ni ushauri tu, kuwa makini na hizo daliliSubirini huko chemical ya Haifa atajavyo fumuliwa weka akili si chini ya watu 500,000 watakufa.
Sa we pia ulisha kufa mpa ukajua Yesu kabeba dhambi zako 😄Wewe ulishakufa ukafufuka mpaka ujue mambo ya kaburini?!
We jamaaaaaaaaIran mafala sana, Hezbollah wamezidiwa wakawaomba watume jeshi liwasaidie kupambana kama walivyowaahidi, yeye anawaambia "hao mnawaweza kabisa bila hata sisi kuja, wakija wafyatulieni zile bunduki tulizowapeni, zifyatueni kama tulivyowafundisha, assalaam alaykum"😅
Naskia huo mlio wake ni WA kuweka mbali na watoto kabisaaBomu la POUND 2000 lenye uwezo wa kuvunja mahandaki na kubomoa milima limepigwa muda huu hapo makao makuu ya Hezbollah na weapon LAB imeteketezwa yote..
Inasemekana kiongozi wa Hezbollah NASRALLAH alikuwemo ndani ya jengo Hilo, hii ni kwa mara ya Kwanza kwa Israel kupiga kwa bomu lenye uzito mkubwa
Quran imeandikaje kwani? au Ndio yale Dunia imebebwa na Nyangumi mgongoni hahahaha Allah ni comedian sanaNchi gani hiyo ta ahadi? Hamuoni nyie mnasoma vitabu vinavyo wapotesha. Mussa alitoka Misri kwenda Saud Arabia au Yemen. Alipita Red sea sa Israel kuna Red Sea? We ngojea tu ukifa ndio utajua Paulo kawauza kweli. Kaburi ndio mtihani wa mwanzo usidhani utalala pale usingizi.
Hakuna comedian kama yule 1=3 😄Quran imeandikaje kwani? au Ndio yale Dunia imebebwa na Nyangumi mgongoni hahahaha Allah ni comedian sana
Wakitoka hapo wanaenda YemenUkisikia "nakuweka kiporo" hii ndio maana yake sasa! Baada ya wayahudi kumalizana na Hamas wamewaludia hizbullah. Ndio maana kipindi kile nilikua najiuliza mbona hizbullah wanawalushia marokect waizrael lkn hawajibu???? Ebanaeee kumbe kiporo!!!!
Aliyesema kuwa Jesus ni 1=3 Jesus is 1 Messenger of Allah in human form, 2 Word of Allah, 3 Spirit of Allah proceedingHakuna comedian kama yule 1=3 😄
anzeni kuandaa msiba sheheSubirini huko chemical ya Haifa atajavyo fumuliwa weka akili si chini ya watu 500,000 watakufa.
Sa we pia ulisha kufa mpa ukajua Yesu kabeba dhambi zako 😄
View: https://youtu.be/MQzEsRgQDJM?si=XDzzRL6BZF0OA5et
Hezbullah kanza kupiga vitu huko Israel