Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenGod Bless Israel
Israel amezungukwa na magaidi pandę zote na wote wana uchu wa kumuangamiza.
Hakuna namna zaidi ya kupambana mpaka mwis
Mkuu Kuna milipuko mingi sana imesikika , Yani Ile sehemu kulikuwa na mabomo mengi sanaWaziri wa Afya anasema Watu ni waili tu wamekufa na 76 wamejeruhiwa.. ni aina ya kichekesho au walijua wakahama wote pu
Hamas imesambaratika ?Nasrallah akiuwawa, na hili Grupu la Magaidi huenda likasambaratika.
Kutoa wito ni jambo moja.Na kujiunga ili wafe wote ndicho kifuatacho.
Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
Ila jamani, damu zinamwagika...Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel.
Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” kwenye makao makuu ya Hezbollah yaliyoko kusini mwa mji mkuu huo.
Katika taarifa iliyotangazwa kwenye televisheni, msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, alisema “kituo cha amri kuu” kilikuwa kimejificha ndani ya maeneo ya raia.
Soma Pia: Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut
Al Jazeera news
Thick clouds of smoke are rising from the Lebanese capital Beirut after multiple explosions. Israel’s military says it carried out a “precise strike” on the central headquarters of Hezbollah in the capital’s south.
In a televised statement, Israeli military spokesperson Daniel Hagari said the “central command centre” was embedded deep within civilian areas.
More soon.
Wa moto kama DidyHawa Yahudi hawa
Wacha yauliwe magaidi. Wavaa vipedoIla jamani, damu zinamwagika...
Kweli Nyau kachukia.
Israel ni dola halali ya kiyahudi iliyoundwa mwaka 1948. Na ile ni ardhi yao tangu enzi na enzi.Kwani nani gaidi pale. Nafikiri Israel ndiyo Gaidi namba moja. Wale Palestine wanapigania ardhi yao ambayo inakaliwa kimabavu na magaidi Israel. 🤔