Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

Sasa kama kaudukua mfumo nani anaucontrol jombaa
 
Israel another level nimegundua kwa nini USA anamuheshimu uyu mtu ni hatar sana, yaani anaweza kumpiga hata Putin akiwa anaoga bafuni ndomaana Russian president aliwaambia Iran wasiende kwenye vita na Israel fully combat waende kupitia magaidi.................

Israel kumiliki anga lako kwao ni kitu kidogo sana, kuhack mfumo wa vyom vyako wa Umeme kama vile pasi,simu,remort,tv,gar,deli,redio,Azam kisimbuz n.k hawa jamaa popote kokote wanalianzisha aiseeee, Mwarabu haamini anachokiona.......

Na hapo hawajapandisha mzimu ya King David wanatumia mzimu ya brotherman king Sulemani wakichanganya na King Saul mtu mbad......
 
Mtoto akililia wembe mpe umkate alie
 
All the best 🇮🇱
 
Watakubishia kobas
 
Huu ni urongo.Nimemsikia Covax akilalamika.
 
Eti nasikia Hasani wa hizibulaa amefariki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…