Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel.
Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa wa kudhoofisha majeshi ya Assad kwa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za Assad, msaada huu umechangia pakubwa waasi kuitwaa nchi, hivyo wamewapa eneo hili la kimkakati kama "Asante"
Faida kwa Israel kuchukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermon
Kupata udhibiti wa Mlima Hermon kunatoa nafasi ya kutuma mashambulizi kwa urahisi dhidi ya maadui walioko chini, kwani mlima ni sehemu ya kimkakati ya kijeshi.
Kilele cha Mlima Hermon ni mahali pa juu kabisa, kinachowezesha Israeli kufuatilia harakati za kijeshi za Syria na Hezbollah kutoka mbali.
Kuwa juu ya mlima kunatoa faida ya kuzuia mashambulizi kutoka kwa maadui hasa wakati wa usiku na ni vigumu kwa adui kushambulia Israeli moja kwa moja bila kutambuliwa.
Udhibiti wa kilele hiki unaruhusu Israel kufuatilia harakati za maadui na kukusanya taarifa muhimu za kiintelejensia
kilele cha Mlima huu mrefu katika nchi zote tatu ni eneo lenye ufanisi mkubwa wa rada, Israel ina uwezo wa kuchunguza anga ya majirani zao
Milima ya Hermon ni njia muhimu ya usafirishaji wa silaha kati ya Syria na Hezbollah. Udhibiti wa Israel utaifanya kuwa vigumu kwa wapinzani kutumia njia hiyo.