Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

Iran inatakiwa ijitathmini upya waone kama sera yao ya kufadhili ugaidi bado inaweza kuwasaidia kwani muda unaenda mbio na hauwezi kuwasubiri tena.
Irani haisaidii magaidi,hamas na hizbollah sio magaidi,hizo ni propaganda tu za israeli,hao wanapigania uhuru na haki yao
 
Mayahud na makafiri mtachomeka siku ya kiyamma

Inshallah

E molla wetu utujalie tuwe miongon mwa watakaopata bikra 😋
Hivi Quran yenu inasemaje kuhusu mwanamke wa kiislam, akienda mbinguni nae anapewa njemba 100 au inakuaje, au nae anagawiwa miongon mwa mabikra
 
Hivi Quran yenu inasemaje kuhusu mwanamke wa kiislam, akienda mbinguni nae anapewa njemba 100 au inakuaje, au nae anagawiwa miongon mwa mabikra

Siku ya kiyamma Allah atagawia kila mwislam

Tuombe heri shekh raha za peponi ziwe halali yetu
 
Magaidi
Iran inatakiwa ijitathmini upya waone kama sera yao ya kufadhili ugaidi bado inaweza kuwasaidia kwani muda unaenda mbio na hauwezi kuwasubiri tena.
Uchwara wa Igunga wanasemaje kuhusu hoja yako?
 
Iran wanajiandaa na msiba alie sema ataifuta Israeli amefutwa akiona kwa macho
 
Hivi Quran yenu inasemaje kuhusu mwanamke wa kiislam, akienda mbinguni nae anapewa njemba 100 au inakuaje, au nae anagawiwa miongon mwa mabikra
Swali zuri lililokosa majibu ya maana kwa muda mrefu, kobazi mwenye uelewa atandaze darsa.
 
Oh great! What about this one - Mt. Hermoni!? Uko kwenye maandiko yoyote?
(Zaburi 133:3)-Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko BWANA alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
 
Wamasai sisi ndio waisrael halisi.
Hao wazungu wanatusaidia tu.
 
Oh great! What about this one - Mt. Hermoni!? Uko kwenye maandiko yoyote?
Ndiyo, Mlima Hermoni unatajwa katika Biblia kwenye maandiko kadhaa, hasa katika Agano la Kale. Mlima huu upo kaskazini mwa Israeli na unatambulika kama sehemu muhimu kihistoria na kiroho. Mfano wa maandiko yanayomtaja Mlima Hermoni ni:

1. Kumbukumbu la Torati 3:8-9
“Basi wakati ule tulitwaa nchi mikononi mwa hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng'ambo ya Yordani, toka kijito cha Arnoni hata mlima wa Hermoni.”
(Hermoni pia huitwa Seniri na Waamori.)

2. Zaburi 133:3
“Ni kama umande wa Hermoni, ushukao milimani pa Sayuni; maana hapo Bwana aliamuru baraka, naam, uzima hata milele.”
(Hii inaonyesha umuhimu wa kiroho wa Mlima Hermoni kama chanzo cha baraka.)

3. Yoshua 12:1
Mlima Hermoni unatajwa katika orodha ya maeneo yaliyochukuliwa na Waisraeli wakati wa ushindi wao chini ya Yoshua.

4. Wimbo Ulio Bora 4:8
“Njoo pamoja nami toka Lebanoni, bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni; utazame toka kilele cha Hermoni...”
(Inaonyesha Mlima Hermoni kama sehemu ya mandhari ya kifahari.)

Mlima Hermoni unahusiana na mipaka ya kihistoria ya Israeli na unachukuliwa kama eneo la umuhimu wa kimazingira kwa sababu ya chemchemi zake nyingi. Pia, unatajwa kwa ishara za uzuri, baraka, na utukufu wa Mungu.
 
Baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al-Assad nchini Syria mnamo Desemba 8, 2024, vikosi vya Israel vilichukua udhibiti wa kilele cha juu zaidi cha Mlima Hermoni, kinachojulikana kama Jabal El Sheikh. Hatua hii ilifuatia kuanguka kwa mji mkuu wa Syria, Damascus, na kusambaratika kwa jeshi la Syria katika maeneo ya mpaka. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alieleza kuwa kutokana na kuondoka kwa jeshi la Syria katika maeneo hayo, makubaliano ya mpaka ya mwaka 1974 yalikuwa yamevunjika, na hivyo aliamuru Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kuchukua udhibiti wa eneo hilo kwa muda ili kuzuia vitisho vyovyote vinavyoweza kujitokeza.

Mlima Hermoni unatajwa katika Biblia kwenye maandiko kadhaa, hasa katika Agano la Kale. Mlima huu upo kaskazini mwa Israeli na unatambulika kama sehemu muhimu kihistoria na kiroho. Mfano wa maandiko yanayomtaja Mlima Hermoni ni:

1. Kumbukumbu la Torati 3:8-9
“Basi wakati ule tulitwaa nchi mikononi mwa hao wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ng'ambo ya Yordani, toka kijito cha Arnoni hata mlima wa Hermoni.”
(Hermoni pia huitwa Seniri na Waamori.)

2. Zaburi 133:3
“Ni kama umande wa Hermoni, ushukao milimani pa Sayuni; maana hapo Bwana aliamuru baraka, naam, uzima hata milele.”
(Hii inaonyesha umuhimu wa kiroho wa Mlima Hermoni kama chanzo cha baraka.)

3. Yoshua 12:1
Mlima Hermoni unatajwa katika orodha ya maeneo yaliyochukuliwa na Waisraeli wakati wa ushindi wao chini ya Yoshua.

4. Wimbo Ulio Bora 4:8
“Njoo pamoja nami toka Lebanoni, bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni; utazame toka kilele cha Hermoni...”
(Inaonyesha Mlima Hermoni kama sehemu ya mandhari ya kifahari.)

Mlima Hermoni unahusiana na mipaka ya kihistoria ya Israeli na unachukuliwa kama eneo la umuhimu wa kimazingira kwa sababu ya chemchemi zake nyingi. Pia, unatajwa kwa ishara za uzuri, baraka, na utukufu wa Mungu.
 
Walivyoupamba kwa uzuri dah! Sema ni vile tone la maji jangwani huwa na thamani kuu!

Siamini kama huo mlima ni mzuri kuliko the Alps, Andes, Rocky, Himalayas, au hata Mt. Kilimanjaro. Ni vile upo eneo watu waliamka mapema huku kwingine tukiitwa washenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…