Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel.

Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa Sultani na Waarabu wake.

Alichokosea hakuwamaliza vibaraka wake.
Inasadikika mwamba na jeshi lake walifyeka Wakoloni waarabu 20,000.

Viva sana mwamba ulituwakilisha sisi wabantu werevu ambao kamwe hatukubali kutawaliwa tena na mvaa kanzu wa jangwani huko.

Naamini ipo siku Jeshi lilile imara litazaliwa tena kwene hii jamii inayoongozwa na vibaraka wa nje ya mipaka yetu.

A845D648-2B61-431F-9170-26DBDE997CC7.jpeg
 
Hivi John Okello baada ya yale mapinduzi aliishia wapi? Maana ni yeye aliyepindua. Wengine wajanja wakadandia kwa mbele kazi aliyoifanya John na wenzake.
kuna makosa ya kiufundi yalitokea ilibidi ndo awe rais wa kwanza
 
Huku bara wanapigania Sykes atajwe kwenye historia ya Uhuru, huko Zanzibar wanapigania Okello asitajwe. Kazi kweli.
 
Okello muhuni mmoja tu aliechukuliwa mwishoni ili atangaze khs kupinduliwa kwa ZNP na ZPPP, kazi ilifanywa na makabila kutoka bara,kama vile wamakonde,wanyamwez,wangoni,wadogo,wazigua,wanyasa n.k.

Hkn kabila lenye asili ya znz lililoshriki mapinduzi moja kwa moja ,hakuna.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana Hawa wazanzibari wamezoea kurithishwa tu madaraka lakini kudai wao hawawezi kabisa.Maana baada ya okelo kuwafukuza waarabu akamrithisha karume uongozi kama alivyorithishwa mama Abdul Kwa sasa
 
Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel.

Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa Sultani na Waarabu wake.

Alichokosea hakuwamaliza vibaraka wake.
Inasadikika mwamba na jeshi lake walifyeka Wakoloni waarabu 20,000.

Viva sana mwamba ulituwakilisha sisi wabantu werevu ambao kamwe hatukubali kutawaliwa tena na mvaa kanzu wa jangwani huko.

Naamini ipo siku Jeshi lilile imara litazaliwa tena kwene hii jamii inayoongozwa na vibaraka wa nje ya mipaka yetu.

View attachment 3139540
Eti Sanamu!!
 
Huyu na wenzake wengi,waliuliwa na waarabu.
 
Back
Top Bottom