Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 407
- 392
Kijana hakuna Mzanzibari alieshriki mapinduz,wte waliofanya hyo kitu hawana asili ya Zanzibar. Mtaje japo mmoja tuone km ni MzanzibariNdiyo maana Hawa wazanzibari wamezoea kurithishwa tu madaraka lakini kudai wao hawawezi kabisa.Maana baada ya okelo kuwafukuza waarabu akamrithisha karume uongozi kama alivyorithishwa mama Abdul Kwa sasa