Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
kuna makosa ya kiufundi yalitokea ilibidi ndo awe rais wa kwanzaHivi John Okello baada ya yale mapinduzi aliishia wapi? Maana ni yeye aliyepindua. Wengine wajanja wakadandia kwa mbele kazi aliyoifanya John na wenzake.
Wakati mapinduzi yanafanyika karume yupo dar yaani karume hakushiriki mapinduzikuna makosa ya kiufundi yalitokea ilibidi ndo awe rais wa kwanza
ilibidi okello awe raisWakati mapinduzi yanafanyika karume yupo dar yaani karume hakushiriki mapinduzi
Ndo maana karume hakuona shida kuuza uhuru wa zanzibar kwa nyerere hakuupigania na hajui uchungu wakeilibidi okello awe rais
Inasemekana walifanya hivo kuogopa nchi za kiarabu kurudi na kumsaidia sultanNdo maana karume hakuona shida kuuza uhuru wa zanzibar kwa nyerere hakuupigania na hajui uchungu wake
Nadhani hio sio sababuInasemekana walifanya hivo kuogopa nchi za kiarabu kurudi na kumsaidia sultan
hivo zanzibar ilibidi iwe chini ya OkelloNadhani hio sio sababu
baada ya kuwasaliti okello na jeshi lake alimkimbilia nyerere ili amlinde kwa makubaliano baada ya mda watakua huru matokeo yake mpaka leo ni koloni
Hao wenzake akina nani?Hivi John Okello baada ya yale mapinduzi aliishia wapi? Maana ni yeye aliyepindua. Wengine wajanja wakadandia kwa mbele kazi aliyoifanya John na wenzake.
Aliuliwa na waarabu,chezea waarabu wewe.Hivi John Okello baada ya yale mapinduzi aliishia wapi? Maana ni yeye aliyepindua. Wengine wajanja wakadandia kwa mbele kazi aliyoifanya John na wenzake.
Eti Sanamu!!Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel.
Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa Sultani na Waarabu wake.
Alichokosea hakuwamaliza vibaraka wake.
Inasadikika mwamba na jeshi lake walifyeka Wakoloni waarabu 20,000.
Viva sana mwamba ulituwakilisha sisi wabantu werevu ambao kamwe hatukubali kutawaliwa tena na mvaa kanzu wa jangwani huko.
Naamini ipo siku Jeshi lilile imara litazaliwa tena kwene hii jamii inayoongozwa na vibaraka wa nje ya mipaka yetu.
View attachment 3139540
Huyu na wenzake wengi,waliuliwa na waarabu.Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel.
Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa Sultani na Waarabu wake.
Alichokosea hakuwamaliza vibaraka wake.
Inasadikika mwamba na jeshi lake walifyeka Wakoloni waarabu 20,000.
Viva sana mwamba ulituwakilisha sisi wabantu werevu ambao kamwe hatukubali kutawaliwa tena na mvaa kanzu wa jangwani huko.
Naamini ipo siku Jeshi lilile imara litazaliwa tena kwene hii jamii inayoongozwa na vibaraka wa nje ya mipaka yetu.
View attachment 3139540
Huyu na webzake wengi,walitunduliwa na waarabu.kuna makosa ya kiufundi yalitokea ilibidi ndo awe rais wa kwanza