Lakini mimi nimeshajiapiza kama kutatokea Genocide nyingine dhidi ya Watutsi mimi nita volunteer labda niwe nimezeeka sana.Uzuri watanzania sisi hayo mambo hatuyapi sana nafasi katika akili zetu maana hayana faida katika nyakati hizi za karne ya 21.
Sisi tunapambana na adui yetu anaetuchokoza, hatupambani na kabila la mtu kama ilivyo huko Congo, Burundi nk.
Serikali ya Congo ilikakaa kushirikiana na Rwanda, lakini imekubali kushirikiana na Uganda. Sasa sijui Tshisekedi hajui kuwa Rwanda na Uganda ni kama vile Tanganyika na Zanzibar kwamba ni nchi moja tofauti kila upande ina mtawala wake.
Hawa hawana 'conflict of interest ' huko Drc kama wale wengine.mbn tanzania,malawi na afrika kusini hawakuwashirikisha na hakukua na mzozo km huu?
Hizi nchi zilizoenda sasa hivi ni Kenya peke yake ndo inaenda kuchapana na M23, ila Burundi na Uganda wanakwenda kuchimba madini katika shamba la bibi ili na wao wakajenge uchumi wa nchi zao.mbn tanzania,malawi na afrika kusini hawakuwashirikisha na hakukua na mzozo km huu?
Hao watusi huwa wanabaguliwaje ?....Mimi huniuma sana kuona Ubaguzi wanaofanyiwa Watutsi humu Jf huwa najiuliza sana Why Tutsis?
Ina maana kati ya makabila yote ya huko Drc ni wao tu wananyanyaswa mpaka washike silaha ?Wapiganaji wa M23 ni Watutsi wa milima ya Mulenge walionyanyasika sana.
Waweke silaha chini ili serikali ya Drc ikae nao mezaniHuyu Mkuu wa Kongo wa sasa ni Kubwa Jinga kwanini amekataa kukaana M23 mezani amnao ni Raia wake,
Nimeshuhudia wakinyang'anywa Ngombe zao na wao kufukuzwaHao watusi huwa wanabaguliwaje ?....
Kenya wameshindwa kwa Al Shabab apo kwa M23 wataweza kweli?
Muonekano wa Kitutsi ni tofauti na Makabila ya Kibantu hapo ndio Wacongo na Interahamwe wanapojustfy kuwa hawa kwasababu hawana pua kubwa therefore sio wenzetu kwa hiyo wanastahili wafukuziwe Rwanda.Ina maana kati ya makabila yote ya huko Drc ni wao tu wananyanyaswa mpaka washike silaha ?
mlozi mupe mutoto amuleleeHawa hawana 'conflict of interest ' huko Drc kama wale wengine.
hahahaha,dah pole yake masaiKuna Mmasai wa Tanzania mmoja muuza Dawa za Kimasai alikutana na kipigo cha kutisha huko Ituri wakisema ni Mpelelezi wa Kitutsi,walikuwa hawajawahi kuona Masai katika maisha yao.
Aliokolewa na Madereva wa Malori wa Kenya
Hilo linakuonyesja nini, Waafrika hatutembeleani hatujuani hii Mipaka iliyowekwa na Wakoloni wa Kizungu ilikuwa ni artificial Barriers ili tusijuane na tubaguane.hahahaha,dah pole yake masai
Mi natokea tabora,Pana watusi wengi tabora tangu enzi za milambo huko,wale wamba wanajisikia hatari,na wapo wengi tu serikalini,hawali kuku lakini..kitu Kama na mayai hawaliWatutsi ni lini wamejifanya Spesho? hayo ni maneno yenye lengo la kuwatengenezea chuki.
Mimi nimekaa sana na Ndugu zangu Watutsi sijaona uspesho unaousema
Hii inanikumbusha Wanazi wa Ujerumani walivyokuwa wakiwazushia Wayahudi kila iana ya maneno ikiwemo kuwa Wanaringa na ni Matajiri.
Kwahiyo Ndugu ya Mtanzania acha chuki za kikaburu.
Hao ni Watanzania wenzetu na ni wachapa kazi kweikweli.Mi natokea tabora,Pana watusi wengi tabora tangu enzi za milambo huko,wale wamba wanajisikia hatari,na wapo wengi tu serikalini,hawali kuku lakini..kitu Kama na mayai hawali
Uhuru Yuko zake Congo kufanikisha biashara za familia yake,hata wafe raia wa mulenge wote he don't give a damn.Kama Ali sponsor Mungiki dhidi ya wakenya wenzake itakuja kua hao jamaa wa huko Congo?Huyu Mkuu wa Kongo wa sasa ni Kubwa Jinga kwanini amekataa kukaana M23 mezani amnao ni Raia wake,
Anaenda ku escalate mgogoro na kuishutumu Rwanda bila ushahidi wowote.
Wapiganaji wa M23 ni Watutsi wa milima ya Mulenge walionyanyasika sana.
Leo nimeona Video moja wakati wanampokea Uhuru Kenyata aliposhuka pale Goma Watu wakamfuata Uhuru Kenyata huku wakilia na mpango mzima ulikuwa staged yule mama anasema ati amepigwa na Watutsi na mwingine anasema kapigwa na Kagame..
Ninahisi hizi chuki zinazotengenezwa na Serikali ya Kongo dhidi ya Watutsi wa Kongo zinaweza kuzaa Genocide dhidi ya Raia wa Mulenge. lakini M23 wasiingie Goma kiasi kuna maongezi huko Angola.
ππ Hata Ruto alivyoingia madarakani wacongo walisema wakalenjini Ni watusi waliohamia Kenya zamani ππ, wanajeshi wa Congo nao walipoenda Congo picha zao zikawa zinasambazwa huko Twitter zikisema jeshi la Kenya limejaa Watusi ππ.Kuna Mmasai wa Tanzania mmoja muuza Dawa za Kimasai alikutana na kipigo cha kutisha huko Ituri wakisema ni Mpelelezi wa Kitutsi,walikuwa hawajawahi kuona Masai katika maisha yao.
Aliokolewa na Madereva wa Malori wa Kenya