Huyu Mkuu wa Kongo wa sasa ni Kubwa Jinga kwanini amekataa kukaana M23 mezani amnao ni Raia wake,
Anaenda ku escalate mgogoro na kuishutumu Rwanda bila ushahidi wowote.
Wapiganaji wa M23 ni Watutsi wa milima ya Mulenge walionyanyasika sana.
Leo nimeona Video moja wakati wanampokea Uhuru Kenyata aliposhuka pale Goma Watu wakamfuata Uhuru Kenyata huku wakilia na mpango mzima ulikuwa staged yule mama anasema ati amepigwa na Watutsi na mwingine anasema kapigwa na Kagame..
Ninahisi hizi chuki zinazotengenezwa na Serikali ya Kongo dhidi ya Watutsi wa Kongo zinaweza kuzaa Genocide dhidi ya Raia wa Mulenge. lakini M23 wasiingie Goma kiasi kuna maongezi huko Angola.