Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishiriki hii ambush[emoji1][emoji1] MONUSCO Mara ya mwisho walipewa kichapo na helcopter Yao ikatunguliwa wakasema Hawa jamaa wana silaha za kisasa na nidhamu Kama wanajeshi sio Kama waasi.
Kuna siku FARDC na MONUSCO waliwazunguka hao M23 kuwapiga ambush wakajua leo wamewaweza, ghafla hao jamaa wakajigawa kwny vikundi vidogo vidogo na vikundi hivyo vikiwa na command Yao hapo FARDC na MONUSCO wakala kichapo wakakimbia baada ya hapo boss wa MONUSCO akasema mbinu waliyoitumia Leo ya kujigawa vikundi vidogo kwny ambush na wakatoboa hio sio mbinu ya kundi la waasi Hawa jamaa wana mafunzo ya kijeshi [emoji1][emoji1].
Wana faita jet 14 za vita ya kwanza ya dunia alafu wanasema jeshi ni siriLinaweza likawa nazo na zaidi ya hizo mkuu,si unajua tena mambo ya kijeshi Ni siri.
Achana nae huyo analeta maneno ya kwenye maskani za gongo.Taja waziwazi wao viongozi wakubwa wa kitusi walijipenyeza humu nchini.
Stop antihamitism Watutsi ni Ndugu zetu na ni Waafrika wenzetu acha chuki za kijinga jingauganda na rwanda na hao m23 woote ni watusi
Ndiyo,baada ya kichapo kule DRC, museveni akamwambia wale huwawezi,Kaa nao chiniHivi walikuja kuyajenga na Mkwere wakawa poa?
Mambo ya nchi nafuatilia Sana,mi ni mtu serious,usihadaike na ujingaujinga naoandikagaKumbe na wewe uko vizuri kwenye mambo haya hahaha 😃😂😂
Acheni kujifanya spesho,na kile kiburi chenu Cha kitusi,sisi watanganyika ukiingia anga zetu utakuta,na mtahusiana vizazi kwa vizazi juu yetuMaadui wa Watutsi wamezidi kuongezeka. Watutsi wasibweteke wajizatiti kama Waisraeli.
Ili kila anaekuja kwa shari wanatoa dozi kamili.
View attachment 2428354
Tutsi Warriors
Tumezoea kusikia Antisemitic
Na sasa Anti Tutsis ni Antihamitic.
Tutsi ni kabila kama yalivyo makabila mengine hapa Afrika. Kwahiyo haina haja ya kuwabagua wala kuwachukia kwa sababu ya muonekano wao.Stop antihamitism Watutsi ni Ndugu zetu na ni Waafrika wenzetu acha chuki za kijinga jinga
No Hate no Fear!.
Wacha weee 😂😂😂... kama nakuona unavyochapa togwa lako na mihogo ya kuchemsha ili ulipe tumbo joto ukalale 😂😂😂Wana faita jet 14 za vita ya kwanza ya dunia alafu wanasema jeshi ni siri
Kuna skari mmoja wa JW ni koplo nilikuwa namuuliza kambi muhimu zaidi ya JW ipo wap akajibu zipo tano atataja brigedia zile akianza na faru hiyo faru yenyewe kama ina mizinga mingi ni bm-21 kumi na vifaru vyepesi 8
Kwahiyo Kenya hajui nini kinaendelea ila wewe unajua[emoji23][emoji1787] mbona mna dharau hivyo. Kwahiyo m23 wakienda Kenya wataichukua kwa mda mfupi tu kwa jinsi mnavyoidharau hiyo kenyaWaasi walipokimbia usidhani kuwa walikimbia mikono mitupu, wanaweza kuwa waliacha migobole lkn wakakimbia na dhahabu, almasi na rasilimali zingine ambazo zilikuwa rahisi kwao kubeba. Na nchi ambayo iliwapokea kwa wingi hao vijana ni Rwanda ikifuatiwa na Uganda.
Sasa hivi ishapita miaka 8 au 9 kwahiyo zile rasilimali walizokimbia nazo huko Rwanda zimeisha, kwahiyo wameamua kujipanga tena ili wakapambane na ikiwezekana wachote zingine.
Kwahiyo kwa sasa inawezekana na Burundi nayo imeamua ikatumie njia wanazotumia majirani wengine kujineemesha kupitia shamba la bibi kwa kujifanya kutuma jeshi la kupambana na hao M23 pamoja na Red tabara. Uganda yeye tayari ana sehemu yake ya kuchota since alipoingiza majeshi yake Congo kupambana na kina Joseph Kony nk.
Kenya inatoka mbali na haijui vizuri nini kinachoendelea katika eneo hilo. Imeingia kichwa kichwa na sasa itashangaa jinsi itakavyopokea kichapo huku wenzake Burundi na Uganda anaowategemea washirikiane wakiwa katika mashimo yao ya kuchimba dhahabu wakitorosha mzigo fasta fasta usiku kupitia katika mipaka yao inayopakana na Congo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kifupi Kenya yuko katika vita hii peke yake na atahenyeshwa kweli kweli.
Watutsi ni lini wamejifanya Spesho? hayo ni maneno yenye lengo la kuwatengenezea chuki.Acheni kujifanya spesho,na kile kiburi chenu Cha kitusi,
Itakuwa Bantu dhidi ya Ndugu yake Hamite/Cushite.Tukianza na watutsi kesho tutahamia kwa wasomalia matokeo yake itakuwa vita ya ukanda mzima wa Afrika mashariki kuanzia Somalia, Eritrea, Ethiopia, Kenya, South Sudan, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi nk maana tunamuingiliano mkubwa wa makabila.
Uzuri watanzania sisi hayo mambo hatuyapi sana nafasi katika akili zetu maana hayana faida katika nyakati hizi za karne ya 21.Itakuwa Bantu dhidi ya Ndugu yake Hamite/Cushite.
Tuombe mungu asitufikishe kwenye Madness
mbn tanzania,malawi na afrika kusini hawakuwashirikisha na hakukua na mzozo km huu?Huko kuikubalia Uganda na kuitenga Rwanda ndio kumechochea huu mzozo wa Sasa.
zitto junior mtu chake Moronight walker Count Capone