Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Maadui wa Watutsi wamezidi kuongezeka. Watutsi wasibweteke wajizatiti kama Waisraeli.

Ili kila anaekuja kwa shari wanatoa dozi kamili.

Tutsi Warriors
Tumezoea kusikia Antisemitic
Na sasa Anti Tutsis ni Antihamitic.
 
Nilishiriki hii ambush
 
Linaweza likawa nazo na zaidi ya hizo mkuu,si unajua tena mambo ya kijeshi Ni siri.
Wana faita jet 14 za vita ya kwanza ya dunia alafu wanasema jeshi ni siri

Kuna skari mmoja wa JW ni koplo nilikuwa namuuliza kambi muhimu zaidi ya JW ipo wap akajibu zipo tano atataja brigedia zile akianza na faru hiyo faru yenyewe kama ina mizinga mingi ni bm-21 kumi na vifaru vyepesi 8
 
Maadui wa Watutsi wamezidi kuongezeka. Watutsi wasibweteke wajizatiti kama Waisraeli.

Ili kila anaekuja kwa shari wanatoa dozi kamili.
View attachment 2428354
Tutsi Warriors
Tumezoea kusikia Antisemitic
Na sasa Anti Tutsis ni Antihamitic.
Acheni kujifanya spesho,na kile kiburi chenu Cha kitusi,sisi watanganyika ukiingia anga zetu utakuta,na mtahusiana vizazi kwa vizazi juu yetu
 
Stop antihamitism Watutsi ni Ndugu zetu na ni Waafrika wenzetu acha chuki za kijinga jinga

No Hate no Fear!.
Tutsi ni kabila kama yalivyo makabila mengine hapa Afrika. Kwahiyo haina haja ya kuwabagua wala kuwachukia kwa sababu ya muonekano wao.

Tukianza na watutsi kesho tutahamia kwa wasomalia matokeo yake itakuwa vita ya ukanda mzima wa Afrika mashariki kuanzia Somalia, Eritrea, Ethiopia, Kenya, South Sudan, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi nk maana tunamuingiliano mkubwa wa makabila.

Mtu au watu wachukiwe kwa matendo yao lkn sio kwa makabila yao.
Bantu wangapi wanafanyiana unyama wenyewe kwa wenyewe huko Center Africa, Nigeria, Cameroon nk.

Mbona hakuna mtu anaewa judge kuhusiana na makabila yao?
 
Wacha weee 😂😂😂... kama nakuona unavyochapa togwa lako na mihogo ya kuchemsha ili ulipe tumbo joto ukalale 😂😂😂
 
Kwahiyo Kenya hajui nini kinaendelea ila wewe unajua[emoji23][emoji1787] mbona mna dharau hivyo. Kwahiyo m23 wakienda Kenya wataichukua kwa mda mfupi tu kwa jinsi mnavyoidharau hiyo kenya
 
Acheni kujifanya spesho,na kile kiburi chenu Cha kitusi,
Watutsi ni lini wamejifanya Spesho? hayo ni maneno yenye lengo la kuwatengenezea chuki.

Mimi nimekaa sana na Ndugu zangu Watutsi sijaona uspesho unaousema

Hii inanikumbusha Wanazi wa Ujerumani walivyokuwa wakiwazushia Wayahudi kila iana ya maneno ikiwemo kuwa Wanaringa na ni Matajiri.

Kwahiyo Ndugu ya Mtanzania acha chuki za kikaburu.
 
Tukianza na watutsi kesho tutahamia kwa wasomalia matokeo yake itakuwa vita ya ukanda mzima wa Afrika mashariki kuanzia Somalia, Eritrea, Ethiopia, Kenya, South Sudan, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi nk maana tunamuingiliano mkubwa wa makabila.
Itakuwa Bantu dhidi ya Ndugu yake Hamite/Cushite.

Tuombe mungu asitufikishe kwenye Madness
 
Itakuwa Bantu dhidi ya Ndugu yake Hamite/Cushite.

Tuombe mungu asitufikishe kwenye Madness
Uzuri watanzania sisi hayo mambo hatuyapi sana nafasi katika akili zetu maana hayana faida katika nyakati hizi za karne ya 21.

Sisi tunapambana na adui yetu anaetuchokoza, hatupambani na kabila la mtu kama ilivyo huko Congo, Burundi nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…